Ni ngumu sana kuwaelewa chadema kwenye siasa za Kenya

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Kwanza Kitendo Cha chama cha upinzani kukiunga mkono chama cha tawala ilikua ajabu kidogo japo unaeza pia kuitafsiri vinginevyo na ukawa right.

Cha kushangaza leo chadema pros wote wanaisifia mahakama ya Kenya kwa kutengua ushindi wa mtu wao Uhuru Kenyatta

Leo ni siku mbaya sana sana kwa Jubilee na Kenyatta ni siku ambayo mahakama imewaweka kwenye aibu kwamba walikua wezi na waongo lakini chadema wanafurahi sana na kuisifia mahakama imetenda haki

Is anyone get these people Jamani au ni mimi peke yangu siwaelewi wamebadilika badala ya kuwa against the cort judgment wanaiunga tena mkono bila kujua what they are doing.

Sababu nakumbuka wakati tume ya uchaguzi Kenya wanamtangaza Kenyatta hawa hawa waliisifia sana na kutaka tume yetu iige Kenya sababu walikua fare and free lakini leo wamewageuka tena hahaha Duh!

Note, billion moja za uchaguzi uliobatilishwa ni kama zimetupwa chooni ni pesa nyingi sana kama trillion 2 na nusu ambazo zingetosha kuipaisha Kenya kwenye maendeleo makubwa sana, huu uamuzi ni wa kipumbavu na utawagharimu sana wakenya mna vitu sensitive vya kushughulikia kwa maslahi ya Wakenya wengi kuliko hizi sarakasi za kujaza matumbo ya watu.
 
Tatizo bifu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

Ongea bila kulia .... Haki ikitakiwa kutendeka lazma itendeke gharama sio sababu ya watu kukosa haki...
 
P


Ongea bila kulia .... Haki ikitakiwa kutendeka lazma itendeke gharama sio sababu ya watu kukosa haki...
ME hata wangefanya uchaguzi kila baada ya lisaa hainiumi sababu sina maslahi Kenya. Business zangu zipo safe so can't panic.

Unasema haki itendeke, una maana tume ya uchaguzi na mipaka Kenya haikutenda haki awali?
 
Wanasiasa wetu wa Afrika hawana msimamo. Nyerere tu alisimamia alichokiamini na kweli.
 
Mkuu chadema nayo ni moja ya maajabu kumi ya dunia babu hawaelewekiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…