Ni Ngumu Simba Kumtoa Wydad de Casablanca

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Naona comments nyingi za kupeana moyo ; tena kutoka kwa waandishi wa habari wakubwa.

Watu wanaandika magazeti na story za half lela ulela . Hii yote ni kwa sababu tunajua kuwa tuna poor investment and poor scouting. Ndio maana tunatumia maneno mengi sana.

Nimeshawahi kusema hapa kuwa Mpira ni Investment, sio matangazo au blah blah . Lakini siku zote hatujifunzi. Sababu ya Kaizer kututoa last time , was an investment and poor scouting( scouting za kitapeli).

Mabadiliko ya Yanga kwa sasa ni kutokana na Investment, hata kama ni ndogo, na kama Yanga akifanya Investment zaid na Club ikawa na long term plan basi ndani ya miaka 3 ijayo anakwenda kuwa Bingwa wa Africa kama hii consistency ya uwekezaji usio na kelele za kizaramo kama kwa mwafulani zikiendelea.

Simba haina Investment ya kuitoa Wydad , na kudhani kuwa Simba ataitoa Wydad ni moja ya tatizo la afya ya akili ( Poor Mental Health)

Mpira sio kujaza watu au kutoa motivation words kama tupo vitani. Wakati watu wanatumia nguvu nyingi kufanya Investment, wengine wanashinda mitandaoni na kupiga kelele kuwa anapata Hasara, haya ndiyo madhara ya utajiri wa kurith. Kama unapata hasara mbona bado upo, ni another form of UTAPELI wa Mwafulani.

Well, alichofanya Raja ndiyo atakachofanya Wydad. Mark my Words. Hakuna mambo ya Sugar Coat , au mambo ya Inshallah inshallah. Kwanza Wydad kafurahi kuwa na Simba, njia ya kusonga kwake ni kama kutoa unywele kwenye maziwa.

Washabiki wa SSC tujiandae kisaikolojia, hatuna uwezo wa kuitoa Wydad , kama tunawaza kuitoa Wydad kwa uwepo wa Chama, imekula kwetu.

Investment matters a lot , Ahly
Ilikuwa kidogo isiende robo fainali, Investment kati ya Hilal na Ahly na quality ya wachezaji ndiyo iliyoamua wa kwenda robo fainali.

Mpira haujengwi kwa kusumbua watu mitaani na matarumbeta, it's all about investment and scouting ya kibabe.

Yanga anayo nafasi kwenda Nusu fainali kwa asilimia 60%, ni muda wa Yanga, tukubali hizi Timing and let's cherish for their success.

Huu mwaka Yanga anakwenda kuonesha utofauti wa investment and process. Simba mara zote anafika robo fainali, kombe la maluza au Klabu Bingwa: katika Miaka 5 mfululizo, safari yake inaishia robo fainali and yule Muhindi anatuaminisha hayo ndiyo mafanikio. It's awkward kama kila mara unaishia hatua hiyo hiyo; that means you are not learning and huna growth path and long term goals.

It's OVER now , Tanzaania kupitia Dar es salaam Young Africans (Yanga ) anakwenda kuvunja huu mwiko na kutinga nusu fainali ambapo SSC ameshindwa kuvuka for the past 5 years.

Nawatakia kila heri Simba kwenye game yao na Wydad next two weeks , but in truth , ninajua simba haina madhara kwa Wydad kwa namna yoyote ile. Yaani sio game ambayo ninashauku ya kuiona, kwa sababu matokeo yapo wazi.

Game ya Rivers na Yanga, inatia hamasa kwa sababu hata investment zao zinalingana na uwezo pia wa players hawajaachana sana. Anything can happen.
 
Huko Utopolo ni Wawili tu ndo Wanaruhusiwa Kutoa Ushauri...!

Na Wao Wakishauri...Ushauri unaweza kupokelewa ama ukapuuzwa...!

Utopolo mliobaki tunachojua ni 'Hamnazo' kama Mzungu pori Alivyowatambulisha Hivyo pigeni Kimya...!
 
Kolo wizard mwendo ameumaliza .....rip timu yangu
 
Huko Utopolo ni Wawili tu ndo Wanaruhusiwa Kutoa Ushauri...!

Na Wao Wakishauri...Ushauri unaweza kupokelewa ama ukapuuzwa...!

Utopolo mliobaki tunachojua ni 'Hamnazo' kama Mzungu pori Alivyowatambulisha Hivyo pigeni Kimya...!

Mmmh
 
Ushakula nyama na umekatazwa aya ndo mazara yake...et yanga 60%.....duuuuu. Uto bana

Yanga anaenda nusu fainali Rivers hawana maajabu level hizi hizi za Simba na Yanga
 
Ngoja tuone kwa mara nyingine kama kwa Mkapa hatoki mtu. Maana Raja, waliwafanyia kitu mbaya. Na sasa ni kaka zao Wydad!
 
Ngoja tuone kwa mara nyingine kama kwa Mkapa hatoki mtu. Maana Raja, waliwafanyia kitu mbaya. Na sasa ni kaka zao Wydad!

Wanaishi Kwenye huu upupu. Goli tatu bila kwa mkapa

Atoki mtu m’y foot

Ni mambo yakubahatisha tu
 
Ngoja tuone na kila la kheri kwa Tanzania...
 
Onyango atafanya maajabu zaidi ya yale kule kwa Raja... Beki la mpira ana miaka 24
 
Niseme yangu machache tu, pamoja na investment wakati mwingine game psychology inaweza kupindua matokeo, simba dhaifu ikaipiga pasi kutarajia wakawafurusha waarabu, Yanga inayopewa nafasi wakafurushwa na River United.

Tuweke akiba ya maneno.
 
Wewe river hakukukanda kwa mkapa, tatizo la wana utopolo wanaiwaza Simba kuliko Rivers .
Huyo river wako ajiandae tu kupigwa kama ngoma. Na nyinyi kama mtaweza kuwaiga kaka zenu, karibuni. Sisi ni wazee wa kisasi.
 
Mbona leo sioni comment za kuchekesha simba na yanga mmechoka au mmegoma kutuchekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…