Ni Ngumu Simba Kumtoa Wydad de Casablanca

Kwa miaka 5 Simba anafika Robo fainali na kwa miaka 5 hakuna timu nyingine hapa nchini imefanya hili ila Simba ndo timu mbovu, ndo timu haina uwekezaji, ndo timu dhaifu.
 
Tulia mzee mpira ni dakika 90 baada ya dakika 90 ndio uje kuzungumza haya ila kwenye investment hapo umegonga kwenye mshono boss mo anazingua sana...unatuletea sawadogo kweli? Afu unajua tunaenda kushiriki super lig afu unasajiri sawadogo bocco na nyoni unawaongezea mkataba yetu macho
 
Fact, Umeandika mambo Ya msingi Sana bila ushabiki

Yanga anafanya proper investment isiyo na ujanja ujanja

Simba anachofanya ni kuendelea kukalili kwamba atatumia uzoefu miaka yote ..

Football ya leo ni organization kwanza kwenye kila idara.

Coaching ya wachezaji, chakula, matibabu, motisha, scouting, na mambo ya kisakolojia kwa wachezaji then uzoefu.!

Uzoefu unabaki kuwa ni factor moja tu ingekuwa uzoefu tu ndio factor arsenal asingesumbua timu kubwa namna ile EPL.
 
Si wanawake wanapewa viti maalamu
CAF awatoi nafas za hisan
Simba IPO mbali Sana ukilinganisha na Utopolo kwenye CAF Kwa miaka 4 iliyopita..mashabiki wao wanaulemavu wa akili mpk viongoz wao inakuingiaje akili uombewe kucheza Superleague😆😆
 
Niseme yangu machache tu, pamoja na investment wakati mwingine game psychology inaweza kupindua matokeo, simba dhaifu ikaipiga pasi kutarajia wakawafurusha waarabu, Yanga inayopewa nafasi wakafurushwa na River United.

Tuweke akiba ya maneno.

Hii ni Motivation words. Huwezi kupanda mahind uvune maarage. Haiwezekani

Simba hawezi kumtoa Wilydad never . Tutarudi hapa
 
Fact’s 💯 %
Akili kubwa sana 🙌🙌🙌🙌
Ukitaka kujua tatizo la Afya ya Akili ni Kubwa Nchini pitia Comments
 

Nakubaliana na wewe. Na hii kitu uliyosema uzoefu... hii kitu ndio inawapa nguvu ya kusema kwa mkapa hatoki mtu. Badala yake Raja walikuwa na kazi Rahisi snaa pale Taifa

Kwahiyo wawe serious matokeo hutengenezwa as growth process, sio matarumbeta.

Miaka 4 inaingia Robo fainali yet haivuki hiyo hatua ....... hayo ndio mazoea na wenyewe wanajiamijisha ni mafanikio. Kama unagomea robo fainali kwa miaka 4 , binafsi sioni kama ni maendeleo na ni ishara kuwa hakuna long term
Goals
 
[emoji116]
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Haya ni maajabu ya mwaka kutoka kwa mleta udhi. Yaani timu ya yanga iliyo invest vizuri kwenye wachezaji na process ilishindwa kuendelea na michuano mikubwa, badala yake ikaenda kule kwa luzas.

Then simba anayoibeza haijawekeza vizuri ndio ipo huko kwa waliowekeza vizuri.

Swali, je yanga ingeweza kuwatoa wydad?
 
Kwa miaka 5 Simba anafika Robo fainali na kwa miaka 5 hakuna timu nyingine hapa nchini imefanya hili ila Simba ndo timu mbovu, ndo timu haina uwekezaji, ndo timu dhaifu.
Mtoa mada anamtupia lawama MO kwa uwekezaji duni Msimbazi japo imefika robo fainali mara 4 na anaipongeza Yanga iliyofika robo fainali baada ya miaka mingi.
 
Mtoa mada anamtupia lawama MO kwa uwekezaji duni Msimbazi japo imefika robo fainali mara 4 na anaipongeza Yanga iliyofika robo fainali baada ya miaka mingi.
Tena robo fainali aliyofika Yanga ni ya maluza
 
.... yule Muhindi anatuaminisha hayo ndiyo mafanikio. It's awkward kama kila mara unaishia hatua hiyo hiyo; that means you are not learning and huna growth path and long term goals.
Watu wanavyozungumzia investment, utadhani kuweka hela ni sawa na kufungua chupa ya serengeti lite
 
Nashauri hii game tucheze Kama under dog kukaa nyuma kusubir opportunity ya kaunta na set pieces basi..ila ujuaji tukifanya ni mkono kwa mkapa na Morocco yaan ni kucheza Kama hatuna haraka hata Kama ni kwa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…