Ni ngumu Simba SC kuchukua Kombe la Mabingwa CAF kwa kuwategemea Ngoma, Muzamiru na Sadio Kanuti

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Watu wa ball wataniekewa lakini watu wa hisia na utimu ndani yake watakuja kurusha mawe na matusi bila hoja ya msingi.

Kutokana na tambo za mashabiki na wasemaji wa timu ya Simba SC wakijinadi kuwa watafika nusu na kuchukua Kombe kabisa la Klabu la Bingwa la Africa.

NALIA NGWENA kila nikitazama dimba la kati la Simba SC lililo sheheni viungo Sadio kanut, Ngoma na Muzamiru.

Binafsi naona kabisa hata robo kufika ni tia maji tia maji bado kuna weakness kubwa sana kwa viungo wakabaji wa kati.

Sadio kanuti tumeona uchezaji wake namba sita yake na uchezaji wake ni rafu tu nafikiri ndiyo mchezaji aliyemaliza na kadi nyingi katika msimu uliopita sasa mchezaji wa namna hii kimataifa hana manufaa na ataigharimu timu.

Fabrice Ngoma, ni namba nane huyu lakini majeraha yanamsumbua sana kwa mchezaji wa namna hii endapo ataingia kwenye mfumo na majeraha yakaanza kumsumbua lazima timu iyumbe.

Muzamiru huyu kimataifa bado kutokana na kumtazama mechi za kimataifa zilizo pita mzamiru hawezi kuwa tegemezi labda ligi ya ndani kimataifa bado.

Binafsi kelele zinazopigwa ni kufurahisha mashabiki tu lakini kiuhalisia ni ngumu kufika nusu au kuchukua kombe.
 
Kutokana na tambo za mashabiki na wasemaji wa timu ya Simba sc wakijinadi kuwa watafika nusu na kuchukua kombe kabisa la klabu la bingwa la Africa.

NALIA NGWENA kila nikitazama dimba la Kati la Simba sc lililo sheeni viungo Sadio kanut, Ngoma na Muzamiru.

Binafsi naona kabisa Hata robo kufika ni Tia maji Tia maji bado Kuna weakness kubwa sana kwa viungo wakabaji wa Kati.

Sadio kanuti tumeona uchezaji wake namba sita yake na uchezaji wake ni lafu tu nafikiri ndiyo mchezaji aliyemaliza na kadi nyingi katika msimu uliopita Sasa mchezaji wa namna hii kimataifa Hana manufaa na ataigharimu timu.

Fabrice Ngoma, ni namba nane huyu lakini majeraha yanamsumbua Sana kwa mchezaji wa namna hii Endapo ataingia kwenye mfumo na majeraha yakaanza kumsumbua lazima timu iyumbe.

Muzamiru huyu kimataifa bado kutokana na kumtazama mechi za kimataifa zilizo pita mzamiru hawezi kuwa tegemezi labda ligi ya ndani kimataifa bado.

Binafsi kelele zinazopigwa ni kufurahisha mashabiki tu lakini kiuhalisia ni ngumu kufika nusu au kuchukua kombe.
Mkuu hebu wasikilize vizuri ili ujue ni kombe lipi wanataka kuchukua. Mimi nina uhakika, kwa usajili waliofanya, hakuna wa kuwatoa Ndondo Cup.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
kuhusu mzamilu umetudanganya ,ila bado usajili aujaisha ,CEO kasema kuna player 3 zakimataifa ambapo viungo ni wawili na mmoja kipa,pia kuna wachezaji wa 2 wakibongo ambao ni mabeki wa kati.
 
Kwa hapa bongo hakuna timu yeyote ya kuchukua CAF Champion league kwa miaka ya hivi karibuni na hata ya baadaye pia labuda tu itokee timu kama Raja,Wydad,mamelod, Esperence de tunis na Al ahly Sc zisishiliki mashindano husika
CAF-CLUB-RANKING-2023-2024-768x930.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa ball wataniekewa lakini watu wa hisia na utimu ndani yake watakuja kurusha mawe na matusi bila hoja ya msingi.

Kutokana na tambo za mashabiki na wasemaji wa timu ya Simba SC wakijinadi kuwa watafika nusu na kuchukua Kombe kabisa la Klabu la Bingwa la Africa.

NALIA NGWENA kila nikitazama dimba la kati la Simba SC lililo sheheni viungo Sadio kanut, Ngoma na Muzamiru.

Binafsi naona kabisa hata robo kufika ni tia maji tia maji bado kuna weakness kubwa sana kwa viungo wakabaji wa kati.

Sadio kanuti tumeona uchezaji wake namba sita yake na uchezaji wake ni rafu tu nafikiri ndiyo mchezaji aliyemaliza na kadi nyingi katika msimu uliopita sasa mchezaji wa namna hii kimataifa hana manufaa na ataigharimu timu.

Fabrice Ngoma, ni namba nane huyu lakini majeraha yanamsumbua sana kwa mchezaji wa namna hii endapo ataingia kwenye mfumo na majeraha yakaanza kumsumbua lazima timu iyumbe.

Muzamiru huyu kimataifa bado kutokana na kumtazama mechi za kimataifa zilizo pita mzamiru hawezi kuwa tegemezi labda ligi ya ndani kimataifa bado.

Binafsi kelele zinazopigwa ni kufurahisha mashabiki tu lakini kiuhalisia ni ngumu kufika nusu au kuchukua kombe.
Mchawi utamjua tu!!
 
Back
Top Bottom