NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Watu wa ball wataniekewa lakini watu wa hisia na utimu ndani yake watakuja kurusha mawe na matusi bila hoja ya msingi.
Kutokana na tambo za mashabiki na wasemaji wa timu ya Simba SC wakijinadi kuwa watafika nusu na kuchukua Kombe kabisa la Klabu la Bingwa la Africa.
NALIA NGWENA kila nikitazama dimba la kati la Simba SC lililo sheheni viungo Sadio kanut, Ngoma na Muzamiru.
Binafsi naona kabisa hata robo kufika ni tia maji tia maji bado kuna weakness kubwa sana kwa viungo wakabaji wa kati.
Sadio kanuti tumeona uchezaji wake namba sita yake na uchezaji wake ni rafu tu nafikiri ndiyo mchezaji aliyemaliza na kadi nyingi katika msimu uliopita sasa mchezaji wa namna hii kimataifa hana manufaa na ataigharimu timu.
Fabrice Ngoma, ni namba nane huyu lakini majeraha yanamsumbua sana kwa mchezaji wa namna hii endapo ataingia kwenye mfumo na majeraha yakaanza kumsumbua lazima timu iyumbe.
Muzamiru huyu kimataifa bado kutokana na kumtazama mechi za kimataifa zilizo pita mzamiru hawezi kuwa tegemezi labda ligi ya ndani kimataifa bado.
Binafsi kelele zinazopigwa ni kufurahisha mashabiki tu lakini kiuhalisia ni ngumu kufika nusu au kuchukua kombe.