Mimi kazi zangu huniwezesha kukutana na askari wa majeshi yetu mbali mbali,katika kupiga stori za hapa na pale hujikuta wanagusia na mambo ambayo mimi sitakiwi kuyajua,,,,kwa mfano kulalamikia maslahi yao kubanwa na watu wizarani au Rais kutoona umuhimu wa kazi wanayofanya,,,,,kwa mfano askari walioko wizara ya mambo ya ndani wanalalamika sana juu ya posho zao za Maji na Umeme kutolipwa katika mishahara yao na imekuwa ahadi ya muda mrefu,wameenda mbele zaidi kwa Wizarani kuna watu wanaweka ngumu fedha/posho hizo kulipwa kwa muda mrefu sasa na wengine wanadai Rais anajua ila haoni umuhimu wa kazi zao kwake hivyo nae anaamua kuungana na watesi wao walioko wizarani
Askari wanaenda mbali na kudai kwamba posho ya chakula Inatakiwa kuboreshwa maana ni muda mrefu toka 2015 wakati ambao Lowassa alitingisha nchi ndo posho hiyo iliboreshwa kama sehemu ya rushwa ya kukinusuru chama.
Wakati mwingine huwa nakutana pia na askari wa Jwtz katika majukumu yangu nao wanalalamika sana juu ya posho yao ya chakula kutoboreshwa huku maisha yakiwa juu sana,,,wengine humlalamikia mkuu wao wa majeshi kwamba amekuwa haangalii maslahi yao bali anawaburuza.
Nahitimisha kwa kuwaahauri wenye mamlaka kutowaacha askari walalamike namna hiyo kama ni hizo posho za Maji na Umeme walipeni hii nchi si maskini kiasi hicho,,,,,mnajua madhara ya askari kulalamika sana ebu walipeni hivyo vi posho vyao viwasaidie.
Kumbukeni askari siyo mwl au nesi kusema kwamba malalamiko yake yanaishia kwenye makaratasi,,,hawa askari sometimes wanaweza kugeuka majambazi ndani ya nchi,,,Unashangaa serikali inapambana kupunguza ujambazi kumbe majambazi ni hao hao walioajiriwa na serikali katika vyombo vyetu vya dola,,,,Njaa inaua Uzalendo kabisa serikali kuweni makini.
Katika stori nilishangaa kusikia kumbe nao hawajawahi kuongezwa mshahara toka Magufuli mpaka sasa!!!
Wanasema Rais Samia hajaweka alama yake katika majeshi maana hajawapa chochote zaidi ya kulipa stahiki alizokuta zimewekwa na watangulizi wake.
Mh.rais usikubali kuchukiwa na askari hapo utakuwa umejikaanga na mafuta yako,,,askari siyo makada wa Chadema kusema utapambana nao kisiasa,sina mamlaka ya kukushauri lakini napenda Mafanikio yako katika uongozi wako ebu waite askari kwa uwakilishi wao kutyoka vyombo vyote uwasikilize alafu ujue cha kufanya,,,hatutaki kusikiliza lawama za askari mtaani ni hatari kwa ustawi wetu kama nchi.