Ni nidhamu kwa askari kulalamika waziwazi?

Kazi ya askari ni kutii maagizo ya wanasiasa.
Ni lzm wapewe maslai duni Ili waendelee kutii.
Huwezi mtawala mwenye shibe.
 
Kazi ya askari ni kutii maagizo ya wanasiasa.
Ni lzm wapewe maslai duni Ili waendelee kutii.
Huwezi mtawala mwenye shibe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie mbna najuaga wanajeshi ndo wanapokea mshahara mzuri sana, kumbe nao ni wale wale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WaTz wote bila ya ubaguzi wasikilizwe shida zao, wanaitumikia serikali moja!
 
Jadili hoja tu kaka mimi niache kwanza siwezi kuacha kazi yangu inayonilipa millions of money nkawe askari,,labda niwe kichaa!!!
Sidhani kama askari waliacha kazi zinazowalipa vizuri wakaenda kwenye uaskari! Naamini askari wetu hawajawehuka bado, labda wawe wehu kwa ugumu wa maisha wanayoyalalamikia.
 
Poti usitake mpendelewe kwanza bongo Hamna vita sio south sudan hapa jiheshimu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…