Ni nini chanzo cha kijana wa kiume kusuka ama kuvaa hereni?

Watu anaokutana nao mara kwa mara wanaweza kuwa chanzo kama wana fanya hvyo.
 
Wengine wanafata mkumbo..wengine kuvaa hvo wapo kazini hasa katika maswala ya ushoga..wengine zinawasaidia kusafarisha magendo hasa madawa ya kulevya na madini. hahaha ni utafiti tu bado naendelea kutafiti
 
Kuna watu hawavai heleni wala kusuka lakini wanaenda party, so kwa baadhi ya nchi ni tamaduni zao hasa magharibi na kuna baadhi ya makabila ni desturi zao km wamasai. Ukiona wengine wamefanya hivyo ni kuiga tu ila asilimia kubwa ya watu wa hivyo ni wadau trust me, sitaki kuongea sanaaa😅
 
Ushoga.
 
Sasa hv kuna wave kubwa wameanza kujichora face tats, ulimbukeni kuiga tuu
 
Vile vikaputula vyao sasa. Mapaja yote nje jamani aibu naona mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…