peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nijuavyo mimi CWT ni stepping stone ya viongozi wakuu wa chama hicho kuwa viongozi wakuu wa kisiasaKama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu
Pili ninaomba kujua asilimia 2% inayokatwa kutoka Kwa mwalimu ambaye ni mwanachama zinamfaidisha nini mwalimu au mwanachama ambaye ni mwalimu?
Tatu, ni nini hatima ya wanachama wa CWT iwapo wanachama wataamua kujiondoa uanachama?
Mwisho makusanyo ya mabilioni kutoka kwenye mishahara ya walimu kwenda CWT kwanini hayatumiki kusomesha walimu walioko vyuoni ili wakija kuajiriwa wawe wanachama wao.
Mwaka huu wamebadili imekua TLP mrema alisema atawashtakiKutoa tisheti za ki ccm kila mwaka
Nazo sikuhizi hawatoi. Wanarefusha vitambi tu kwa kuwadhulumu walimu 2%ya mishahara yao kila mwezi.Faida zake ni kupata bati kipindi mwalimu anapostaafu....
Mahneenah sana.
Sijui ni kwa nini ni rahisi Sana kuwaburuza walimu nowadays..Chama feki sana hiki. Pamoja Na mikiki yote ya walimu lakini wameshindwa kukikataa hiki chama!
2% ya mshahara NDIYO wanayokata. Kuna walimu wanafyekwa zaidi ya 48,000/-kila mwezi. Yaani zaidi ya 570,000/-kila mwaka. Huu ni wizi /ujambazi!!!!!!!!!Utaratibu wa kukata ada ya uanachama kwa kuangalia basic salary ya mtu ni wa kijima kwani walimu wote wanahudumiwa na hako kachama kwa kiwango sawa licha ya kwamba siku hizi wamekalia kukata hiyo asilimia mbili na si kutetea maslahi ya walimu .Inasikitisha walimu wengine wanachangia zaidi ya tsh 25000 kwa mwezi wengine si zaidi ya tsh 10600 .Kutokana na idadi ya walimu tz isiyopungua 285000 ilitakiwa wakate flat rate tsh 5000 na bado wangekusanya mamilioni ya fedha ambazo zingewawezesha kuishi maisha mazuri tu.Enyi cwt sikilizeni manung'uniko ya wanachama wenu kuhusu hayo makato yasiyo ya haki
CWT walishaweka pamba masikioni! Sjui nani wa kupiga kopo la kombolela, sab kunatetes hata mwendazake alichota mabilion CWT, so kama ni kweli, then CWT inaidai serikali kama mifuko ya hifadhi kama PSSSF, so, wakuwaokoa walimu sijui atatokea ktk dunia hii au mbinguni.Utaratibu wa kukata ada ya uanachama kwa kuangalia basic salary ya mtu ni wa kijima kwani walimu wote wanahudumiwa na hako kachama kwa kiwango sawa licha ya kwamba siku hizi wamekalia kukata hiyo asilimia mbili na si kutetea maslahi ya walimu .Inasikitisha walimu wengine wanachangia zaidi ya tsh 25000 kwa mwezi wengine si zaidi ya tsh 10600 .Kutokana na idadi ya walimu tz isiyopungua 285000 ilitakiwa wakate flat rate tsh 5000 na bado wangekusanya mamilioni ya fedha ambazo zingewawezesha kuishi maisha mazuri tu.Enyi cwt sikilizeni manung'uniko ya wanachama wenu kuhusu hayo makato yasiyo ya haki