Ni nini future ya LAPSET?

Source Ni gazeti ya Tanzania!!!
Ukiremember ONLY 3% of Uganda import passes through Dar!!!
Hahahaha, sisi tunazungumzia biashara ambayo inawanufaisha wananchi wa kawaida, wakulima, viwanda na wafanyabiashara wanapiga hela, ninyi mnazungumzia kupitisha mizigo ambapo KRA ndio "main beneficiary" na wananchi wachache Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
 
Hivi Kati ya Kitendo cha Uganda kununua bidhaa za Tanzania kwa wingi, na Kitendo cha Uganda kupitisha mizigo Yao Mombasa ni nchi gani ambayo inafaidika zaidi?, hasa wananchi wake wa kawaida?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya Kenya na watanzania ni nani wanaishi kwa shida na taabu za dunia?
1)Unemployment
2)Political violence
3)Tribalism
4)Corruption
5)Insecurity
6) Terrorism
7)Hunger/food insecurity
8)Crime
9)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
When you kill each other like animals because of tribalism what do you expect?, If you elect land grabbers just because he is from Gikuyu and you enrich your politicians for the expenses of Norma citizens, what can you call it?
Kenya imelaaniwa
kill each other we do. land grabbers we got them. rich politicians we got them. kulaaniwa hapana....we know our faults and we work on them. unlike you we don't blame others for our problems, we own up to them

now please tell us how Bongolalas don't kill each other or how politicians don't get enriched through corruption or how your tanzanite is not stolen be the powerful people....and while you at it feel free to tell us if you don't have those problems I just mentioned then why is Tanzania a poor country....
 
Hahahaha, we live better lives than you stupid, we have enough food never go to beds hungry, we have better heath care system, we have enough safe water, we have better electricity accessibility and affordable, we have far better security. Tell me why do you die of hunger yearly?
 
I never said that Kenyans live better than you

now please tell us how Bongolalas don't kill each other or how politicians don't get enriched through corruption or how your tanzanite is not stolen by the powerful people....and while you at it feel free to tell us if you don't have those problems I just mentioned then why is Tanzania a poor country.

joto la jiwe
 
Kati ya Kenya na watanzania ni nani wanaishi kwa shida na taabu za dunia?
1)Unemployment
2)Political violence
3)Tribalism
4)Corruption
5)Insecurity
6) Terrorism
7)Hunger/food insecurity
8)Crime
9)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ikiwa Kenya ina taabu kuwashinda itakuwaje kwamba Kenya ina uchumi mkubwa kuwashinda?
 
 
This is temporary. They will be back.
Hahahaha, Ethiopia haijawahi kutulia hata mwaka mmoja, kusubiri Ethiopia kuwa stable politically ni sawa na mtu kusubiri Kenya kumaliza ukabila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…