Ni nini future ya LAPSET?

Ni nini future ya LAPSET?

Source Ni gazeti ya Tanzania!!!
Ukiremember ONLY 3% of Uganda import passes through Dar!!!
Hahahaha, sisi tunazungumzia biashara ambayo inawanufaisha wananchi wa kawaida, wakulima, viwanda na wafanyabiashara wanapiga hela, ninyi mnazungumzia kupitisha mizigo ambapo KRA ndio "main beneficiary" na wananchi wachache Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
 
Umechanganya bangi na pilipili masala. Wewe unazungumza kuhusu jambo tofauti kabisa. Mimi nazungumza kuhusu port ya Mombasa ikilinganishwa na port ya Dar es Salaam na mizigo za Uganda ambazo zinapitia kwenye port hizi mbili. Wewe unaamua kuzungumza kuhusu trade balance ambayo mizigo yenyewe haipitii Dar port wala Mombasa port. Mizigo inayotengenezwa Tanzania inapitia border kati ya TZ na UG. Wacha niseme kwamba nikisema imports za Uganda simaanishi mizigo zinazotekea Kenya wala Tanzania bali namaanisha mizigo za UG zinazotokea ulaya. Leta data ya Dar port nami nilete ya Mombasa port tuone asilimia gani ya mizigo ya UG inapitia Mombasa port ikilinganishwa na Dar port.
Hivi Kati ya Kitendo cha Uganda kununua bidhaa za Tanzania kwa wingi, na Kitendo cha Uganda kupitisha mizigo Yao Mombasa ni nchi gani ambayo inafaidika zaidi?, hasa wananchi wake wa kawaida?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi naona laana ni mtu aliyepewa mali mengi lakini hajui kuitumia. Yesu Kristo mwenyewe alitoa mfano ya watu kadhaa waliopewa pesa wakawekeze. Kuna wale waliopewa pesa wakawekeza na kupata ongezeko la faida na kuna yule ambaye aliamua kutowekeza na baadaye kumrudishia boss wake pesa hio hio aliyopewa bila faida. Yesu alitoa mfano huo ili kuonyesha kwamba "To whom much is given much is expected." Yule ambaye amepewa mengi anategemewa kufaulu zaidi na kutenda mengi. Hio ndio baraka ya kweli. Hata Yesu analifahamu hilo.
Kati ya Kenya na watanzania ni nani wanaishi kwa shida na taabu za dunia?
1)Unemployment
2)Political violence
3)Tribalism
4)Corruption
5)Insecurity
6) Terrorism
7)Hunger/food insecurity
8)Crime
9)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
When you kill each other like animals because of tribalism what do you expect?, If you elect land grabbers just because he is from Gikuyu and you enrich your politicians for the expenses of Norma citizens, what can you call it?
Kenya imelaaniwa
kill each other we do. land grabbers we got them. rich politicians we got them. kulaaniwa hapana....we know our faults and we work on them. unlike you we don't blame others for our problems, we own up to them

now please tell us how Bongolalas don't kill each other or how politicians don't get enriched through corruption or how your tanzanite is not stolen be the powerful people....and while you at it feel free to tell us if you don't have those problems I just mentioned then why is Tanzania a poor country....
 
Hahahaha, we live better lives than you stupid, we have enough food never go to beds hungry, we have better heath care system, we have enough safe water, we have better electricity accessibility and affordable, we have far better security. Tell me why do you die of hunger yearly?
 
I never said that Kenyans live better than you

now please tell us how Bongolalas don't kill each other or how politicians don't get enriched through corruption or how your tanzanite is not stolen by the powerful people....and while you at it feel free to tell us if you don't have those problems I just mentioned then why is Tanzania a poor country.

joto la jiwe
 
Kati ya Kenya na watanzania ni nani wanaishi kwa shida na taabu za dunia?
1)Unemployment
2)Political violence
3)Tribalism
4)Corruption
5)Insecurity
6) Terrorism
7)Hunger/food insecurity
8)Crime
9)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ikiwa Kenya ina taabu kuwashinda itakuwaje kwamba Kenya ina uchumi mkubwa kuwashinda?
 
Inaonekana hatutaelewana kwenye hili. Ethiopia hata kwa sasa hivi wanavyopigana ina opportunities nyingi kwa Kenya kushinda Tanzania. Tayari Kengen na Safaricom wamefaidika pakubwa huko Ethiopia. Isitoshe nyaya za umeme za KE na ET zimeunganishwa tayari kwa kusambazia Kenya umeme nafuu. Endelea kuona Ethiopia kama nchi useless. Sisi tunaona market ya 110 million people watakaonunua bidhaa zetu. Ethiopia ina uchumi mkubwa kushinda wenu sasa sijui unaringia lipi ukizingatia wamewapiga hadi kwenye Gdp.
 
This is temporary. They will be back.
Hahahaha, Ethiopia haijawahi kutulia hata mwaka mmoja, kusubiri Ethiopia kuwa stable politically ni sawa na mtu kusubiri Kenya kumaliza ukabila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom