Ni nini future ya LAPSET?

Ni nini future ya LAPSET?

Kwanza hii barabara ya lami ambayo inapitia Turkana ikielekea South Sudan ikikamilika nadhani itawezesha Wakenya na Wasudani kusini kuweza kutangamana kwa urahisi kabisa, Kwa muda mrefu nilisikia habari kwamba Wakenya wengi wakitaka kuelekea South Sudan ilibidi wapitie Uganda kwa sababu barabara ya lami kati ya Kenya na S. Sudan haikuwepo.

Imekua hivyo kwa muda mrefu, Wakenya wamekua wakilazimika kupitia Uganda, yaani itakua safi sana highway iunge nchi zote mbili.
 
LAmu Port South Sudan Ethiopia Transport corridor ndio maana kamili ya jina LAPSSET. Usijiabishe bure ndugu yangu, haihusiani na bandari ya Mombasa wala mchina. Alafu aliyekudanganya kwamba watu wakiwa kwenye vita huwa hawatumii bandari ni nani?

Hivi unajua leo hii Ethiopia ikivunjika vunjika jirani wa Kenya atakuwa ni nani? Itakuwa ni Oromia, jimbo lenye watu wengi zaidi(40 million strong) nchini Ethiopia. Tena ndio jimbo ambalo limekuwa likiinufaisha wahabeshi kwa utajiri wake.
@Tony254 Nimekuambia kwamba uwezo wa kufikiria wa wakenya ni mdogo Sana, unakubaliana na Mimi?, Soma hii "reply" ya huyu mkunya mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
LAmu Port South Sudan Ethiopia Transport corridor ndio maana kamili ya jina LAPSSET. Usijiabishe bure ndugu yangu, haihusiani na bandari ya Mombasa wala mchina. Alafu aliyekudanganya kwamba watu wakiwa kwenye vita huwa hawatumii bandari ni nani?

Hivi unajua leo hii Ethiopia ikivunjika vunjika jirani wa Kenya atakuwa ni nani? Itakuwa ni Oromia, jimbo lenye watu wengi zaidi(40 million strong) nchini Ethiopia. Tena ndio jimbo ambalo limekuwa likiinufaisha wahabeshi kwa utajiri wake.
Aiseee, Yani ninyi ndio mnaotegemewa kuiokoa Kenya kutoka katika matatizo yake ya Sasa kwa akili hizi?[emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa nani aliyekuambia kwamba pesa ya kulipa deni lazima itoke katika project hiyohiyo iliyokopewa hizo pesa?. Kama serikali imewekeza katika miradi mingine ambayo haizalishi, serikali itapataje pesa za kulipa madeni yake?.

Kweli vichwa vya wakenya vimekufa kabisa. Msipomsikiliza David Ndii, Kenya haiwezi kutoka hapa ilipo.
Tony254
 
Kwa hivyo kwa akili yako unaona kwamba Lapsset hata baada ya miaka ishirini haitakuwa ikitengenza pesa? Wewe unajua nini kitakachokuwa kikifanyika miaka ishirini ijayo? Hivi unajua baadhi ya MPs katika parliament ya Britain walikuwa wakipinga reli ya metre gauge isijengwe Kenya na Uganda kwa sababu itagharimu pesa nyingi na haitawahi kujilipia. Walisema kwamba reli hii haitowahi kuleta faida yoyote kwa Britain na hata kwa Kenya au Uganda. Sasa nataka ujue kwamba reli hii japo kujengwa kwake kulikuwa na matatizo mengi ikiwemo wajenzi kuliwa na simba huko Tsavo na Wakipsigis kupigana vita vikali kukataa reli kupita eneo lao ila reli ilikamilika. Manufaa ya reli hii yamekuwa mengi sana. Baada ya miaka mia moja, tukitazama manufaa ya reli hii ni pamoja na kuchangia export ya mazao ya kahawa na chai kutoka Uganda na Kenya na kuzipeleka Mombasa for export. Kwa miaka hamsini ya kwanza, Kenya ilitumia reli kuexport na kuimport kila kitu. Hii barabara ya lami ya Nairobi-Mombasa ilijengwa in the 1950s. Pili towns zote kubwa Kenya zimejengwa kando mwa reli hii: Mombasa, Voi, Mtito Andei, Machakos, Nairobi, Naivasha, Nakuru, Kisumu, Nyeri, Eldoret na Kampala yenywe.
Kwa hivyo tukiangalia positive effects ya hii reli hatuangalii profits pekee bali tunaangalia linkage effects ya reli hii. Infrastructure nyingi huwa hazileti faida kifedha ila serikali bado inazidi kuzigharamia kwa sababu zinasupport other sectors. Reli ya UK kuna wakati ilikuwa inaleta hasara lakini kwa sababu inasupport sectors zingine muhimu basi serikali ya UK haingeikubalia ife. Airline sector na car manufacturing sector ya marekani zilikuwa karibu kufa wakati wa 2007 recession ila serikali ya Marekani iliingilia kati kuzisupport kwa sababu sectors hizi ni muhimu kwa uchumi wa Marekani na zinasaidia sector zingine na kuziwacha zijifie eti kwa sababu hazileti profit ni kuwa na akili ndogo joto la jiwe . Electric railway ya China bado haijaanza kutengeneza profit ila China inazidi kujenga more railway na kuunganisha maeneo zaidi na reli kwa sababu wanajua faida ya reli. Reli itaunganisha maeneo ya mbali na port, itasafirisha mizigo na watu. Kwa hivyo usiangalie infrastructure in terms of profit and loss bali in terms of overall benefit to the economy. How many sectors does it support, how many jobs does it create, how many investors does it attract, how many towns and cities are built because of the new road or rail, how many mining companies and agricultural companies are formed because of good logistics provided by the new road? Barabara mpya kutoka Lamu hadi Ethiopia itazalisha towns kama kumi mpya na kampuni kama ishirini za kusafirisha bidhaa mbali mbali kutoka Isiolo, Marsabit, Ethiopia, S. Sudan hadi Lamu. Hizi zote ni linkage effect ya barabara mpya unayostahili kuzingatia. Sio profit and loss pekee.
 
I hope you know economics better than David Ndii, do you think he doesn't know all this story of "lunatic railway?". Msikilizeni David Ndii vinginevyo nchi yenu itazama kabisa.

1)Wakati UK inajenga hiyo reli hawakuchukua mkopo wowote, hawakuwa wakidaiwa, 90% ya wafanyakazi walikuwa ni watumwa(cheap labour)
2)Hapakua na competition na reli yoyote Ile, UK enjoyed monopoly
3)Kulikua na mizigo mingi ya kutosha, Hapakua na barabara.

Mazingira ni tofauti Sana, ni ujinga kutumia vigezo vya ujenzi wa reli ya zamani na Sasa hivi. Viongozi wenu kutokana na IQ ndogo, wamekua wakitumia huo mfano wa reli ya zamani bila kujenga hoja yenye nguvu kwa wakati wa sasa hivi.

Mtu yeyote mwenye kufikiria kwamba Bandari za Bagamoyo na Lamu Zina faida kwa Sasa ni mjinga. Mtu yeyote aliyefikiria kwamba mradi wa SGR unayofaida bila kufikisha Uganda ni "myopic".
 
Kwa hivyo kwa akili yako unaona kwamba Lapsset hata baada ya miaka ishirini haitakuwa ikitengenza pesa? Wewe unajua nini kitakachokuwa kikifanyika miaka ishirini ijayo? Hivi unajua baadhi ya MPs katika parliament ya Britain walikuwa wakipinga reli ya metre gauge isijengwe Kenya na Uganda kwa sababu itagharimu pesa nyingi na haitawahi kujilipia. Walisema kwamba reli hii haitowahi kuleta faida yoyote kwa Britain na hata kwa Kenya au Uganda. Sasa nataka ujue kwamba reli hii japo kujengwa kwake kulikuwa na matatizo mengi ikiwemo wajenzi kuliwa na simba huko Tsavo na Wakipsigis kupigana vita vikali kukataa reli kupita eneo lao ila reli ilikamilika. Manufaa ya reli hii yamekuwa mengi sana. Baada ya miaka mia moja, tukitazama manufaa ya reli hii ni pamoja na kuchangia export ya mazao ya kahawa na chai kutoka Uganda na Kenya na kuzipeleka Mombasa for export. Kwa miaka hamsini ya kwanza, Kenya ilitumia reli kuexport na kuimport kila kitu. Hii barabara ya lami ya Nairobi-Mombasa ilijengwa in the 1950s. Pili towns zote kubwa Kenya zimejengwa kando mwa reli hii: Mombasa, Voi, Mtito Andei, Machakos, Nairobi, Naivasha, Nakuru, Kisumu, Nyeri, Eldoret na Kampala yenywe.
Kwa hivyo tukiangalia positive effects ya hii reli hatuangalii profits pekee bali tunaangalia linkage effects ya reli hii. Infrastructure nyingi huwa hazileti faida kifedha ila serikali bado inazidi kuzigharamia kwa sababu zinasupport other sectors. Reli ya UK kuna wakati ilikuwa inaleta hasara lakini kwa sababu inasupport sectors zingine muhimu basi serikali ya UK haingeikubalia ife. Airline sector na car manufacturing sector ya marekani zilikuwa karibu kufa wakati wa 2007 recession ila serikali ya Marekani iliingilia kati kuzisupport kwa sababu sectors hizi ni muhimu kwa uchumi wa Marekani na zinasaidia sector zingine na kuziwacha zijifie eti kwa sababu hazileti profit ni kuwa na akili ndogo joto la jiwe . Electric railway ya China bado haijaanza kutengeneza profit ila China inazidi kujenga more railway na kuunganisha maeneo zaidi na reli kwa sababu wanajua faida ya reli. Reli itaunganisha maeneo ya mbali na port, itasafirisha mizigo na watu. Kwa hivyo usiangalie infrastructure in terms of profit and loss bali in terms of overall benefit to the economy. How many sectors does it support, how many jobs does it create, how many investors does it attract, how many towns and cities are built because of the new road or rail, how many mining companies and agricultural companies are formed because of good logistics provided by the new road? Barabara mpya kutoka Lamu hadi Ethiopia itazalisha towns kama kumi mpya na kampuni kama ishirini za kusafirisha bidhaa mbali mbali kutoka Isiolo, Marsabit, Ethiopia, S. Sudan hadi Lamu. Hizi zote ni linkage effect ya barabara mpya unayostahili kuzingatia. Sio profit and loss pekee.
Kwahiyo mtasubiri hadi miaka 20 kulipa deni la Mchina?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nabakia na hoja langu la awali. Kila serikali yenye long-term planning lazima ijenge miundo mbinu ambayo itachukua miaka zaidi ya kumi zijazo ili kujilipia. Hata serikali yenu inafanya vivi hivi. Mnajenga JNHPP ya 2,300 MW ilhali Tanzania kwa sasa inatumia only 1,400 MW. Mtu mwenye mawazo kama yako ambaye haangalii siku za usoni anaweza kusema kwamba mradi huu ni white elephant kwa sababu itawachukua miaka nyingi sana ili kuweza kutumia umeme huo wote ikiwa mumeshindwa kufika hata 2,000 MW kwa matumizi ya umeme baada ya miaka sitini ya kupata uhuru. Serikali yenu inapiga hesabu za siku za baadaye kwamba watawauzia Kenya sijui S. Afrika, sijui Uganda. Upuuzi mtupu ukizingatia kwamba nyaya ya umeme kutoka TZ hadi S.A haiwezi kubeba umeme huo wote. In fact TZ is not connected to SADC powerpool. Na nyaya za SADC haziwezi kubeba hata nusu ya umeme huu wa JNHPP. Mujiunge na nyaya za SADC kwanza ili mradi huu uwe viable. Nyaya ya umeme kati ya TZ na KE bado haijakamilika kwa hivyo sijui unadhani mtatuuzia umeme vipi ilhali nyaya hizi hazijakamilika. Isitoshe Kenya na Uganda tayari zinajitosheleza kwa umeme wao.
Isitoshe nyaya za umeme kutoka Kenya hadi Ethiopia imeshakamilika na tupo tayari kununua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia ikiwa tutapata deficit ya umeme. Wewe unafikiria kwamba Kenya itauwa Kengen ili tununue umeme kwa bei nafuu kutoka kwenu, bei nafuu ya umeme sio kigezo pekee kinachozingatiwa hapa. JNHPP ni white elephant kwa mawazo yako ya profit and loss. Serikali yenu inapiga hesabu za miaka ishirini kutoka sasa wakati wewe unafikiria tu kuhusu leo na kesho. Kila serikali ina department of planning na kazi yao ni kupanga mipango ya miaka ishirini so sijui ni kwa nini unaona tatizo kwa long-terms projects. Kenya tuna vision 2030 na ndio maana tunauwezo wa kujenga miradi kama Konza ambayo italeta manufaa miaka hiyo ya 2030. Hatufikirii tu hapa kwenye pua, tunafikiria miaka ishirini zijazo, Konza city au Lapsset italeta manufaa gani kwetu. Nyie mnanunua mindege mingi ni kama kupoteza pesa. Mtu mwenye mawazo kama yako anaweza kusema kwamba GoT inapoteza pesa kununua ndege nyingi na kuzipark wakati huu wa corona usafiri umekatizwa ilhali nyie mnazidi kununua ndege kila uchao. Ila serikali yenu inajua ATCL inatengeneza loss kwa sasa ila baadaye itakuja kutengeneza faida. ATCL lazima itengeneze loss miaka kadhaa kabla ya kutengeneza faida.
 
Hahahaha, unachekesha Sana, kwahiyo unadhani ni sawa serikali kukopa pesa yenye riba kubwa kujenga mradi utakaozalisha miaka 20 ijayo wakati deni linatakiwa kurudishwa ndani ya miaka 10 ijayo?.

JNHPP hatujakopa popote, kwahiyo hata tusipouza umeme nje ya nchi hatuna shida Wala pressure ya kulipa deni, vivyo hivyo kwa ndege tunanunua kwa pesa yetu, umeshasikia kwamba Kuna nchi inayotishia kuchukua bandari yetu kutokana na madeni?.

Punguzeni ujinga, Kama huna pesa ya kujenga miradi yako unategemea kukopa, lazima huo mradi uweze kutengeneza faida ndani ya kipindi cha kulipa deni, vinginevyo utabebisha mzigo wananchi masikini. Kenya viongozi wenu hawana akili.
 
In the cargo handling projections for Mombasa Port, it was projected that by 2020 the Port will handle around 34 million tonnes of cargo which was achieved. Further projections are 45 million by 2025 and 56 to 60 by 2030. Despite the ongoing projects even with the SGR operating at designed full capacity the Port will be overwhelmed. Good thing is that lamu port has been funded by GoK so it's strategic and there's no pressure or Return Of Investment. And there will be enough cargo for both ports besides the transshipment cargo.
 
Sawa nimekuelewa hapo.
 
IMG_20211130_065340.jpg
 
In the cargo handling projections for Mombasa Port, it was projected that by 2020 the Port will handle around 34 million tonnes of cargo which was achieved. Further projections are 45 million by 2025 and 56 to 60 by 2030. Despite the ongoing projects even with the SGR operating at designed full capacity the Port will be overwhelmed. Good thing is that lamu port has been funded by GoK so it's strategic and there's no pressure or Return Of Investment. And there will be enough cargo for both ports besides the transshipment cargo.
IMG_20211130_065340.jpg
 
Kwanza hii barabara ya lami ambayo inapitia Turkana ikielekea South Sudan ikikamilika nadhani itawezesha Wakenya na Wasudani kusini kuweza kutangamana kwa urahisi kabisa, Kwa muda mrefu nilisikia habari kwamba Wakenya wengi wakitaka kuelekea South Sudan ilibidi wapitie Uganda kwa sababu barabara ya lami kati ya Kenya na S. Sudan haikuwepo.
Ni sehemu ndogo tu kuanzia pale lokichar ukielekea lodwar lakini tokea lodwar hadi nadapali Ni lami tu.
 
Nadhani watu wengi hawaelewi kuwa huu mradi unalenga nchi ambazo ziko unstable na hakuna anayejua ni nini kitakachotokea. Ethiopia hata makampuni mengi na watu wanakimbia kwa sasa. South Sudan ni failed state. Uganda walifikiriwa wangeleta bomba lao Kenya wamekimbilia Tanzania...
 
Wewe unajua miaka. Thelathini zilizopita Ethiopia walikuwa wanapigana vita vikali in 1991? Kisha wakapigana tena 1998 na Eritrea! Kisha wakapata amani kwa miaka ishirini? Usipange mambo ya miaka ishirini zijazo. Utashangaa kuona South Sudan ndio nchi yenye uchumi unaokua kwa haraka zaidi Afrika miaka hizo za 2041. Usifikirie tu hapa kwa pua lako, hakuna anayejua kitakachofanyika siku za mbele.
 
bro....these are Bongolalas strategy is not their forte. just look at that big country blessed with arable land and tons of precious natural resources....yet somehow they can't figure out a way out of poverty.

look at Botswana with it's diamonds now look at Tanzania with it's tanzanite.

calling them Bongolalas is not an insult is just stating a fact.
 
Katika uchumi lazima uwe na uhakika sio kubahatisha, muwekezaji yeyote kitu cha kwanza kabla ya kuamua kuwekeza anataka kujua "political climate" ya nchi na Amani ya nchi husika. Hivi wewe Kama Leo hii ukibahatika kupata $100M ukiambiwa uchague nchi ya kuwekeza hiyo pesa, wapi utawekeza Kati ya Dar es Salaam na Mogadishu?
 
While you discovered oil, you are among oil exporting countries still you die of hunger like flies, even your citizens can't afford descent houses, you can't afford even basic human needs like food, water. Shelter, stupid Country, failed state.
 
Katika uchumi lazima uwe na uhakika sio kubahatisha, muwekezaji yeyote kitu cha kwanza kabla ya kuamua kuwekeza anataka kujua "political climate" ya nchi na Amani ya nchi husika. Hivi wewe Kama Leo hii ukibahatika kupata $100M ukiambiwa uchague nchi ya kuwekeza hiyo pesa, wapi utawekeza Kati ya Dar es Salaam na Mogadishu?
Inaonekana hatutaelewana kwenye hili. Ethiopia hata kwa sasa hivi wanavyopigana ina opportunities nyingi kwa Kenya kushinda Tanzania. Tayari Kengen na Safaricom wamefaidika pakubwa huko Ethiopia. Isitoshe nyaya za umeme za KE na ET zimeunganishwa tayari kwa kusambazia Kenya umeme nafuu. Endelea kuona Ethiopia kama nchi useless. Sisi tunaona market ya 110 million people watakaonunua bidhaa zetu. Ethiopia ina uchumi mkubwa kushinda wenu sasa sijui unaringia lipi ukizingatia wamewapiga hadi kwenye Gdp.
 
Back
Top Bottom