Ni nini haswa kinaweza msukuma Mwanaume kumtoa uhai Mke wake?

Ni nini haswa kinaweza msukuma Mwanaume kumtoa uhai Mke wake?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Mwili wa mwanamke mwenye umri wa miaka 43, Flowrence Nyagah, umepatikana ndani ya nyumba yake ghorofa ya pili, eneo la Lumumba Drive, Kasarani Nairobi.

Police wanasema alipatikana March 1, 2026 asubuhi akiwa na stab wounds tatu kifuani na kwenye paji la uso, akiwa amelala kwa damu sakafuni.

Inadaiwa alikuwa ndani ya nyumba na partner wake February 28, ambaye ni police officer na sasa ndiye main suspect. Kisu kilichotumika kilipatikana jikoni chini ya meza, bila handle.

Mwili umepelekwa mortuary pending autopsy. Hakuna arrest bado, suspect anatafutwa.
Je, hii ni another case ya Intimate Partner Violence (IPV)?

Why are cases za domestic violence still rising hata among law enforcers?
Wanawake wako safe kweli ndani ya relationships zao?

Mfumo wetu unalinda waathiriwa ama tunangoja tragedy ndio tuchukue action?
 
Ikitokea watu wamechokana in relationships is best for them kuachana, Tena kwaamani , hizi violence za ndani ya ndoa ni mbaya sana.
 
Ikitokea watu wamechokana in relationships is best for them kuachana, Tena kwaamani , hizi violence za ndani ya ndoa ni mbaya sana.
Nakubaliana nawe kabisa mkichokana basi heri kuachana kuliko kuumizana
 
Back
Top Bottom