Ni nini hatma ya NECTA juu ya grade mpya za secondary?

Ni nini hatma ya NECTA juu ya grade mpya za secondary?

Joined
Aug 24, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Wanafunzi mpaka sasa wamepigwa na bumbuwazi kutokana na uvumi ulioenea kipindi kifupi cha nyuma juu ya mabadiliko haya. kwa Advanced level grade mpya zilipendekezwa kuwa; A(81-100), B(75-80), C(65-74), D(55-64), E(45-54), S(40-44), F(0-39).haya ni majanga ila kabla kamili hayajawa naomba wahusika wajitokeze na kusema kuondoa hali hii ya wasiwasi ili wanafunzi waweze kusoma kwa amani.
 
Basi kama grade za viwango kialama zitaongezeka pia na complication za mitihani ziondolewe, Kwa hali kama hizi zakuongeza ongeza viwango bila ya kurekebisha upande mwingine waki mifumo ni mwendo wa vilaza kwa kwenda mbele tazama hali ilivyo sasa hawajaongeza wala nini tazama matokeo yalivyo. Mfano madogo wa form 4 japokuwa wameachiwa wapite na system ile ile ya miaka yote lakini hali bado mbaya inapoelekea elimu ya tz ni kubaya.
 
Back
Top Bottom