Wakati unawarekodi kwanini hukuwauliza???Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Usihangaike sana, kaweke pembe za ndovu na kete za bangi kwenye ofisi zao, utawamaliza kabisaa.Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Kwani nì uongo?Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
wewe unahisi kati ya hao na polisi nani anamaumivu?Kwani nì uongo?
Pole kwa maumivu mbona bado mtaumia sana mpaka mteme nyongo.
🚮🚮Hoja hii ni ya kipumbavu iliyoletwa na middle class katili,hii ni freedom of expression na hakuna lolote hapo na jambo hili limetokea mahakamani!tatizo la kuwa na vilaza in uniforms na mtoa hoja hii kabla ya kushauri kuwa yeyote anayeona amedhalilishwa kwenda mahakamani (utawala bora)anashauri polisi wajichukulie sheria mkononi!
Na wewe Div 4 ya point 32 ndiyo maana unashabikia upuuziNimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Kwa hiyo namna nzuri ya polisi kupambana na ukweli ni wao kuwapiga wanaonika ujinga wao hadharani?utoto huo
Hakuna utoto wowote hapo,Chadema kinafikisha ujumbe,tena ni mbinu nzuri.Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Sijaona kosa walilolifanya, ila kama hamu yako ni kupiga watu sawa, maana wengine hupiga watoto wao wenyewe ili kukizi hamu zao.Mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Mapambano yana njia nyingi ...Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa
View attachment 2001683
Haya majitu yamekuwa vipofu Jambo linamuhusu mtu mwingine lakini wao ni Polisi tu ingawa wameondoka kwenye hoja za msingi na kujenga chuki dhidi ya makundi kinyume na azma ya chama Chao.
Hata musiba wakati wake wa kutamba alisema hayo hayo kama angekuwa polisi angevunjawatu miguu. Leo hii yeye ndiye kavunjwa mpaka kiunokwa hali hii mimi ningekua polisi nikikukamata lazima nikupige kisawasawa