Ni nini hupelekea mke wa mtu atoke na mwingine ???

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
860
Reaction score
519
Habari za mihangaiko wajameni, bila shaka ni nzuri.
hivi jamani mi naomba kuuliza (hii ni kwa baadhi ya wanawake ) utakuta mwanamke kaolewa,ana familia yake tena anaheshimika kwenye jamii inayomzunguka,
at the end of the day utasikia huyo huyo mama kafumaniwa au anatoka na mtu mwingine.
swali langu ni nini kinasababisha au ndo shetani anazidi tu kushinda ? au ndo ile dhana kwamba hakuna mwanamke wa peke yako inazidi kujipatia umaarufu ?
naomba kuwasilisha.
 

Sababu ziko nyingi Mwamumu! Mojawapo ni baadhi ya wanawake kutoku-give up history. Believe me or not, kuna wanawake ambao hata kama wameolewa, mahusiano na waliokuwa wapenzi wake huwa hayafi kamwe. Popote wakikutana, na kukiwa na mazingira mazuri lazima tu watapeana.

Sababu nyingine ni wanawake kujilindia heshima ya kuolewa hata kama waoaji hawana mapenzi ya dhati. Kwa hiyo utakuta mwanamke ana mume lakini anatoka na jamaa ambaye ndiye kiukweli anampenda kutoka moyoni.

Sababu ya tatu ni tabia za ajabu ajabu. Inawezekana kabla mwanamke hajaolewa alikuwaanakwenda kinyume na boyfriend wake. Sasa kama ataolewa na mume mstaarabu, si rahisi kumshawishi kufanya hivyo. Hatimaye atajitahidi kadri awezavyo kumpata mtu wa kumridhisha.

Sababu ya nne ambayo si kwa wanawake wote ni saizi. Kama mumewe yuko average na yeye alishakutana na extra extra large, lazima tu ataangalia namna ya kuweka mambo yake sawa nje ya nyumbani!
All in all, kama tayari uko kwenye ndoa, jitahidi kutokumfuatilia sana mumeo/mkeo kwa kuwa kuna tabia ambazo hawezi kuzibadilisha na kama ikitokea zikavuja, ujue ndoa iko mashakani!
 

anayejua jibu ni huyo alotoka na mwingine, people are different and unique in behavior. Sababu ilimpekea huyu sio itakayompelekea yule kutona na mwingine.
 
Juu ya yote MATAMANIO ya ngono hupelekea hali hiyo. Yote kwa yote yapasa wanandoa wawe ni watundu sana kiunyumba uili kudumishana.
 
Kinachosababishaga mzee mzima na hrshima zakr atoke na mtu mwingine tofaut na mkew ndicho hicho hicho kitakachomfanya na mwanamke atoke na mwanaume mwingne
 
hizi label za 'mke wa mtu' na 'mume wa mtu'
hazibadili tabia za mtu

label ni label tu
 
Thi matter should not be generalized, every one has a reason to do any thing, though people might end up in infidelity, not all of the have the same reasons. the matter is wider and need to be looked at from different angles......
 
Thanx CHRISS kweli wewe ni jembe nimekusoma vizuri,
ila kuna kitu umenigusa mzazi umesema ni vema kama mtu yupo kwenye mahusiano au ndoa ni vema akaacha kumfatilia au kutomuwazia vibaya mwenzi wake hii inawezekana vp na hasa ukichukulia binadamu tumeumbwa na roho ya wivu ?
kama kuna mwana LABDA UNIPE TIPS JINSI YA KUPOTEZEA !!
Saidia baba .
 
Tamaa ya ngono ikiwa ndani huduma ni dhaifu, tamaa ya pesa......
 
We masikio mjibuni dada kwanza ndio mje na maswali yenu ya kitanzania

Hili jukwaa ndio linaongoza kwa mambo yasiyo na msingi. Humu ndio hasa kuna Great Feelers. Saa zote mnawaza ngono na kusalitiana. Mahusiano hayamaanishi mambo ya kuoana na kuachana, kusalitiana, kutongozana na upuuzi mwingine. Hata malezi ya watoto, uhusiano na majirani zetu n.k

Haya maswali ya kwa nini fulani anatoka nje ni maswali ya watu dhaifu. Kutoka nje kwa mtu sio sbb general mpk uitafutie jawabu kwenye makundi ya watu. Kwa kifupi maisha ya watu wanaoongozwa na hisia hayanaga mijadala mingine zaidi ya namna hii. Hebu twendeni tukajadili mustakabali wa nchi yetu kwenye majukwaa ya maana. Sio kukalia mada za kike kike tu hapa
-Mademu wa kichaga hawakatiki viuno (wakatike viuno sijui wamepata ajali)
-Mimi huyu kaka simuelewi (kama humuelewi si umuombe akufanyie revision)
-Mara ooh mwezi huu sijatongozwa

Kazi kujitoingozesha tu. Kazi mambo ya kimwili tuuu, "*y'xz¨~i/x'* zenu.
 

wewe kama unataka kutoka nje ya ndoa yako we toka tu. Usitake tukusaidie sababu.
 
Kuna gonjwa la kichaa linaitwa sex, ndo sababu....Wazungu wanasema sex is just a performance.
 
wote wanaotoka wana Ndoa wajiulize kwanza,hata km ni new taste watarudia tuu mpaka wafumaniwe ni nini hasa!!!!!
 
inatokana na tabia na hulka ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…