Thread closed!Matokeo yale yanatufundisha tusiishi sana kwa imani upo ushahidi wa baadhi ya wanachama kwa nyakati tofauti walieleza hisia zao kuwa uchezaji wa timu yao unawakosesha amani pia wapo wachambuzi waliosema simba hii hata ukiiangalia bar unasinzia pia wapo waliohoji kwa nini baadhi ya wachezaji hawachezeshwi na alisikika Muhtaza Dewji akisema hajaona kocha zaidi ya comedian
Hizo zote zilikuwa wake up call au dalili ya mvua ni mawingu sema nguvu ya media ikafunika kombe wakitegemea mwanaharamu atapita yataisha kisanii
Matamshi matamu yakafunika ukweli mnyama akayakanyaga
Ushangiliaji wenu tu na sherehe mnazofanya ndizo ushahidiTimu kubwa Africa kwa mafanikio yapi?
Haya ndio madhara ya kuvimbiwa supu za ng’ombe wenye kideliIlikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga.
Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na hata wakampa hadhi ya mgeni rasmi mchezaji wao waliyetegemea angefunga magoli au angalau goli Moja, Kibu Dennis.
La haula ,Simba alichapwa kama mtoto mdogo,akaondoka na kapu la magoli mwisho wa siku.Bado mashabiki na wapenzi wa Simba hadi leo hawaamini kilichotokea Pamoja na kumfukuza kazi kocha wao a k a KaSHAIJA BuTEGE bado hawajapata majibu.
Je, ni nini kilisababisha Simba kukandwa 1-5;siku ya 5/11/2023?
KaSHAIJA BuTEGE