Ni Nini kilipelekea Simba kuchabangwa 1-5?

Ni Nini kilipelekea Simba kuchabangwa 1-5?

Matokeo yale yanatufundisha tusiishi sana kwa imani upo ushahidi wa baadhi ya wanachama kwa nyakati tofauti walieleza hisia zao kuwa uchezaji wa timu yao unawakosesha amani pia wapo wachambuzi waliosema simba hii hata ukiiangalia bar unasinzia pia wapo waliohoji kwa nini baadhi ya wachezaji hawachezeshwi na alisikika Muhtaza Dewji akisema hajaona kocha zaidi ya comedian

Hizo zote zilikuwa wake up call au dalili ya mvua ni mawingu sema nguvu ya media ikafunika kombe wakitegemea mwanaharamu atapita yataisha kisanii

Matamshi matamu yakafunika ukweli mnyama akayakanyaga
Thread closed!
 
Ilikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga.

Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na hata wakampa hadhi ya mgeni rasmi mchezaji wao waliyetegemea angefunga magoli au angalau goli Moja, Kibu Dennis.

La haula ,Simba alichapwa kama mtoto mdogo,akaondoka na kapu la magoli mwisho wa siku.Bado mashabiki na wapenzi wa Simba hadi leo hawaamini kilichotokea Pamoja na kumfukuza kazi kocha wao a k a KaSHAIJA BuTEGE bado hawajapata majibu.

Je, ni nini kilisababisha Simba kukandwa 1-5;siku ya 5/11/2023?
Haya ndio madhara ya kuvimbiwa supu za ng’ombe wenye kideli
 
KaSHAIJA BuTEGE
IMG-20231107-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom