Ni nini kinachoipatia Serikali ya Zanzibar mapato?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.

Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?

Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?

Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
 
Nachota huku na kule tu wanauza mwani

USSR
 
Kodi za Mifugo ya CCM ya Bara ndio zitajenga Daraja la Watu wa Zanzibari.

Huu muungano ulifanywa na kiongozi wa mifugo ya Bara na Mnyassa aliyekuwa akiwaogopa Waarabu baada kuwazulumu kisiwa.
 
Sisi Bara tunajenga daraja kwenda Zanzibar la nini na la kazi gani?

Daraja la kufuata wananchi 1.5 milion ambako kuna madini au hifadhi Za Taifa?

Mkuu wa Majeshi na IGPni Lini atateuliwa kutokea Zanzibar?
 
Watanganyika,kupitia biashara mbali mbali kama kitimoto na pombe,hakika muungano tutaulinda.
 
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.

Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?

Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?

Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
Labda wauze kisiwa cha Pemba.
 
Labda yale mafuta na gesi aliyokuwa Maalim akipiganoa yaondolewe kwenye mambo ya muungano
 
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.

Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?

Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?

Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
Hilo

Hilo daraja la kutoka Tanzania bara kwenda Tanzania visiwani kwa sasa halina umuhimu mkubwa kwa sababu ni gharama kubwa mno
 
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.

Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?

Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?

Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
karudi darasani, eneo hilo la bahari nusu ni ya upande wa bara nusu upande wa visiwani, km kujengwa daraja itajengwa kwa ushirikiano. Hata hivyo nini maana ya serikali ya jamhuri ya muungano? Tafuteni uelewe siyo kuendeshwa na roho mbaya ya ubinafsi. Tafuta elimu kwanza hayo mengine utaongezewa. Unavyouliza chanzo cha mapato we unawalisha? Na je kabla ya muungano walikuwa wanaishije, hata sasa kuna mtu anawalisha? Acha uduwazi. Umejiuliza Zanzibar inafaidika nini na muungano huu? Bila shaka umetokea kanda ya yule mbinafsi na mbaguzi
 
Attachments

  • 47BB9F74-F275-4C1F-8E04-0DA68C0B4F8A.jpeg
    47BB9F74-F275-4C1F-8E04-0DA68C0B4F8A.jpeg
    47.3 KB · Views: 2
Audhubillahi minashaytwani rajiymu!!! , mijitu yenye uchu na roho za kwa Nini ndio Jamaayao huyo kiumbe Allah aliyemharamisha kuliwa na viumbe wake wenye akili salama
 
Nachota huku na kule tu wanauza mwani

USSR
Shidq yako una chuki iliyokujaa moyoni zidi ya watu wq pwani hili ulishalisema mara nyingi kwenye matamko yako.
Zanzibar kuna karafuu inaingiza pesa
Zanzibar kuna utalii wa bahar na mambo ya kale unaingiza pesa za kigeni hujui hilo?
Zanzibar kuna wawekezaji wanalipa kodi
Zanzibar kuna uvuvi
Zanzibar wanalipa kodi
Zanzibar wanapata misaada kama wazanzibar wana nchi marafiki
Hivyo vote ni vyanzo vya mapato
Ujinga wako unafikiria MWANI hicho ni kitu kidogo sana na chenyewe kinaingizq mapato
We kaa ukiwadharau tu.
KAMA SIYO WA MUHIMU MBONA CCM WANAPELEKA WANAJESHI KWENDQ KUPIGA KURA WAKATI WA UCHAGUZI?
KARABAHOOO
 
Sisi Bara tunajenga daraja kwenda Zanzibar la nini na la kazi gani?

Daraja la kufuata wananchi 1.5 milion ambako kuna madini au hifadhi Za Taifa?

Mkuu wa Majeshi na IGPni Lini atateuliwa kutokea Zanzibar?
pesa zote hizo kujenga daraja la nn hasa ,na Kuna nn tunakipata huko zbar!!?? watu mil.3 boti zinatosha ,hakukuwa na ulazima wa kupoteza pesa ,badala yake wangejenga hata vituo vya afya huku bara.
 
Back
Top Bottom