mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Hilo daraja siyo kwamba linajengwa kwa kuangalia mapato yanayokusanywa zanzibar bali inatumika nafasi ya urais kuwa ni mzaliwa wa zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ulivyo sikia lakini kidogo hukupata habari ilivyo.Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
... uchumi wa bluu - blue economy!Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.