peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nachota huku na kule tu wanauza mwaniNimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
Labda wauze kisiwa cha Pemba.Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
HiloNimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
Hilo daraja la kutoka Tanzania bara kwenda Tanzania visiwani kwa sasa halina umuhimu mkubwa kwa sababu ni gharama kubwa mnoNimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
Ni kama vile tu mtu kuvaa chupi kichwani! Hauna maana yoyote ile.Watanganyika wanalalamikia katiba ila Hakuna kitu cha ajabu kama Muungano.
karudi darasani, eneo hilo la bahari nusu ni ya upande wa bara nusu upande wa visiwani, km kujengwa daraja itajengwa kwa ushirikiano. Hata hivyo nini maana ya serikali ya jamhuri ya muungano? Tafuteni uelewe siyo kuendeshwa na roho mbaya ya ubinafsi. Tafuta elimu kwanza hayo mengine utaongezewa. Unavyouliza chanzo cha mapato we unawalisha? Na je kabla ya muungano walikuwa wanaishije, hata sasa kuna mtu anawalisha? Acha uduwazi. Umejiuliza Zanzibar inafaidika nini na muungano huu? Bila shaka umetokea kanda ya yule mbinafsi na mbaguziNimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar.
Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo?
Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar?
Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
karudi darasani, eneo hilo la bahari nusu ni ya upande wa bara nusu upande wa visiwani, km kujengwa daraja itajengwa kwa ushirikiano. Hata hivyo nini maana ya serikali ya jamhuri ya muungano? Tafuteni uelewe siyo kuendeshwa na roho mbaya ya ubinafsi. Tafuta elimu kwanza hayo mengine utaongezewa. Unavyouliza chanzo cha mapato we unawalisha? Na je kabla ya muungano walikuwa wanaishije, hata sasa kuna mtu anawalisha? Acha uduwazi. Umejiuliza Zanzibar inafaidika nini na muungano huu? Bila shaka umetokea kanda ya yule mbinafsi na mbaguzi
Audhubillahi minashaytwani rajiymu!!! , mijitu yenye uchu na roho za kwa Nini ndio Jamaayao huyo kiumbe Allah aliyemharamisha kuliwa na viumbe wake wenye akili salama
Shidq yako una chuki iliyokujaa moyoni zidi ya watu wq pwani hili ulishalisema mara nyingi kwenye matamko yako.Nachota huku na kule tu wanauza mwani
USSR
It may be true but the main culprits are MainlandersUrojo mkuu na sex tourism
pesa zote hizo kujenga daraja la nn hasa ,na Kuna nn tunakipata huko zbar!!?? watu mil.3 boti zinatosha ,hakukuwa na ulazima wa kupoteza pesa ,badala yake wangejenga hata vituo vya afya huku bara.Sisi Bara tunajenga daraja kwenda Zanzibar la nini na la kazi gani?
Daraja la kufuata wananchi 1.5 milion ambako kuna madini au hifadhi Za Taifa?
Mkuu wa Majeshi na IGPni Lini atateuliwa kutokea Zanzibar?