Ni nini kinachoipatia Serikali ya Zanzibar mapato?

Hilo daraja siyo kwamba linajengwa kwa kuangalia mapato yanayokusanywa zanzibar bali inatumika nafasi ya urais kuwa ni mzaliwa wa zanzibar.
 
Zanzibar wanapokea fedha Toka Kodi zinazotozwa kwenye pombe zinazouzwa huku bara na hawajawahi kataa.
 
Mbona hujauliza mkopo uliokopwa na serekali ya Tz kwa wachina kujengabuwanja wa Ndege wa Zanzibar ni Nani atazilipa.Serekali ya Znz or bara.
 
Sawa ulivyo sikia lakini kidogo hukupata habari ilivyo.
Sio tanzania wala Zanzibar wanaojenga hili daraja.
Kampuni ya kibiashara kutoka china ndio wanaotaka kujenga hili daraja. Daraja hili litakuwa lao na kutakuwa na malipo kuvuka hapo.
Serikali ya Zanzibar itapata hisa ndogo kwa kutoa kibali hicho.

Sasa fikiria kuna hiypo kampuni ita faidika vipi kama hiyo kampuni imekubali kujenga hili daraja .

hisabu ndogo:
kila gari ilipe 100000
tuseme gari 200 kwa siku jumla 20 million
kwa mwezi 600 million
 
... uchumi wa bluu - blue economy!
 
Zaznibar ni kupe tuliye mkumbatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…