Ni nini maana ya mapenzi?

Ni nini maana ya mapenzi?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona.

Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla.

MSINGI HASA WA MAPENZI
1.UVUMILIVU
2.HEKIMA
3.BUSARA
4.UPENDO
5.UWAZI
6.HESHIMA
1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure.
2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha.
3 Busara ni hali ya kutengeneza uelewano na kuondoa tofauti eitha ya ki maneno au matendo.

4 Upendo ni hali ya kutengenza imani imara na sawia baina yenu wawili.
5 Uwazi ni hali ya kusomana na kufamiana ki myoyo kimwili na kifikra baina ya watu hawa wawili.
6 Heshima nayo pia ni njia kuu ya kuengeneza maelewano sawiya.
 
Umezingatia jinsi i.e mwanaume na mwanamke au?
 
Hivi bado mada hizi zipogo
Doh
Kwani yenyewe yaliishaga?Wewe ukiwa na miaka mitano tangu kuzaliwa kuna wengine walikuwa na miaka zaidi ya ishirini tangu wazaliwe na walizungumzia mapenzi.Kuyakataa leo yasizungumzwe ni sawa na kutaka maisha ya binadamu yaishe leo hiihii.Hakuna urithishaji wala muendelezo.
 
Je,unataka kumaanisha kuna mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke?
Yapo ndio,
Jinsi zipo mbili tu Duniani Ke na Me,
Linapokuja suala la Mapenzi na Mahusiano ni jinsi hizo hizo mbili zinazunguka duara hilo, ke+me, ke+ke, me+me, ke+me+me, me+ke+ke, nakuendelea
 
Uzi wako umenifanya nikumbuke wimbo wa AliKiba Single Boy, baadae tena nikaukumbuka wimbo wake wa Mahaba, sasa hivi nimeukumbuka Single Again ya Konde Boy,

Sijui hata kwanini [emoji3]
 
Kabisa nyimbo zina ujumbe mzuri sana yaan saana
 
Back
Top Bottom