Ni nini msimamo wa Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu kuhusu DP world?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari jf ,naona upepo umebadilika sana na hii ndio siasa sasa .

Kwa walio karibu na Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu wawa ulize ni nini misimamo wao kuhusu Bandari zetu na DP World ?

Ikumbukwe hawa ni waandishi wa kitabu cha ' I am the state .'​
 
Nyie watu siku si nyingi mtavua nguo kabisa kwa kuwehuka!

Kwa hiyo saivi mmeamia kwenye misimamo ya watu?? Sio mkataba tena??

Daaah🀣🀣🀣
 
Hao ni waandishi wajinga waliomsema vibaya Mwamba Jiwe Magufuli kama vile mwandishi Munga Tehenan alivyomwandikaga vibaya Mwalimu Nyerere. Munga Tehenan alishughulikiwa na karma na hawa watashughulikiwa na karma!
 
Hayo mapumbavu sana achana nayo,yamewekwa mifukoni mwa Nape Nnauye
 
Hawa waandishi ni lazima wafuatiliwe tujue ni njaa au la
Lazima wajulikane msimamo wao coz kunakuwa na vitu vya kijinga wanajitokeza haraka kusemea. Hapa tumeambiwa kuna uhuru wa kuongea. Waseme kitu bwana
 
Hizo ni speaker, ngoja walioshika mic waongee na wao uwaone watakavyo payuka kama Home theatre system za 1000w.
 
Hizo ni speaker, ngoja walioshika mic waongee na wao uwaone watakavyo payuka kama Home theatre system za 1000w.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hao ni waandishi wajinga waliomsema vibaya Mwamba Jiwe Magufuli kama vile mwandishi Munga Tehenan alivyomwandikaga vibaya Mwalimu Nyerere. Munga Tehenan alishughulikiwa na karma na hawa watashughulikiwa na karma!
Munga alimwandika vipi Mwalimu Kiongozi,hebu tupe dondoo na alishughulikiwaje na karma?!
 
Jesse Kwayu, Mtumishi wa Bwana.

Hata kama hapendi hiki kitu wameshazibwa midomo
 
Wamelambishwa huwezi sikia wakifunga vinywa vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…