Ni nini mstakabali wa Bernard Morrison, Simba n yanga?

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Kwa wale wanaojua au walio na appropriate info, ninaomba nipate updates za progress ya kesi ya sakata la Morrison na waajiri wake. Asante
 
Yanga ndiwo wana uwezo wa kumwokoa Morrison kwa sasa kwani mamlaka zinazohusika zimetoa masharti kwamba Yanga waandike barua ya kumnawa Morrison kuwa siyo mchazaji wao basi Morrison atakuwa huru kuichezea klabu yake ya sasa bila hivyo Morrison ni shida tupu.
 
Simba atapoteza point za match zote ambazo Morrison kacheza
 
Mwenye kisukikali ndo atakula nyama.
akuna cha sheria walakanuni,kumbuka huu ni mpira wa bongo eneo linaloongoza kwa kuvunja sheria na kanuni.
 
Kisu kipi wewe mkia? subuli tuwaoneshe mchezo unavyochezwa dadek...
Mnahela nyinyi,?
zaidi ya wachezaji 6 wa Uto wanapewa ziada ya posho na mishahara kutoka Taifa kubwa.haya sema sasa nyinyi ni sisi nani mabingwa fitna na husda?
 
Subili muda ufike,..
Mnahela nyinyi,?
zaidi ya wachezaji 6 wa Uto wanapewa ziada ya posho na mishahara kutoka Taifa kubwa.haya sema sasa nyinyi ni sisi nani mabingwa fitna na husda?
 
So kisa kuuliza ndio unaniita mpuuzi bila ya haya. That gives me the audacity to question your reasoning ability. Ny, nikitegemea unipe jibu maana nilishasema ninahitaji ufafanuzi kutoka kwa yeyote ALIYE NA APPROPRIATE INFORMATION. So hili swali halikuhusu
maana kichwani mwako mna madudu tu na sio kitu nilichouliza.
 
Mnahela nyinyi,?
zaidi ya wachezaji 6 wa Uto wanapewa ziada ya posho na mishahara kutoka Taifa kubwa.haya sema sasa nyinyi ni sisi nani mabingwa fitna na husda?
Unajivunia hela za Mwamedi!! Ngoja asuse halafu muanze kulishwa mihogo yenye pilipili na Mwina Kaduguda.
 
Unajivunia hela za Mwamedi!! Ngoja asuse halafu muanze kulishwa mihogo yenye pilipili na Mwina Kaduguda.
Wakina mwamedi wapo kama saba wanaitaka hiyo nafasi kwa udi na uvumba,akisusa kunamwengine anaingia chap kidogo.
 
Mnahela nyinyi,?
zaidi ya wachezaji 6 wa Uto wanapewa ziada ya posho na mishahara kutoka Taifa kubwa.haya sema sasa nyinyi ni sisi nani mabingwa fitna na husda?
Mkuu hawa utopolo ni comedy tu wanaweza ,hii ishu ya morison hata wenyewe viongozi wanajua wanazuga tu mashabiki zao ili mechi ya simba na yanga ipite ,hakuna cha sheria wala kanuni ,morison ataendelea kucheza hakuna kapunguzwa points wala nini kwanza kanuni zinasema kama mkataba una kasoro mchezaji ndo ataadibiwa na club yake kupigwa faini lakini siyo points ,sasa morison akisemamishwa asicheze pale simba pengo lipi itaonekana mafundi wamejaa morison mwenyewe anatokea bench
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…