Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
SideNdugu wadau naomba kujuzwa kitaaluma vioo vya pembeni vinavyomuongoza driver katika kuendesha gari au pikipiki vinaitwa SIDE MIRRORS au SITE MIRRORS kwa kuwa watu wengi hutamka kati ya maneno hayo mawili nami natatanika lipi ni sahihi kitaalamu.
Asante sana.Sight mirror
Not site mirror
Nakushukuru sana.Kwanza tujue maana ya maneno yote mawili.
SIDE ni neno la Kingereza lenye maana ya upande/pembeni.
SITE ni neno la Kingereza lenye maana nyingi. Huenda pakawa eneo ambalo kitu kilifanyika,kinafanyika au patafanyika. Mara nyingi humaanisha sehemu ambapo ujenzi unaendelea.
Pili,site huweza kumaanisha mkusanyiko wa webpages katika internet.
MIRROR ni neno la Kingereza likimaanisha Kioo.
Baada ya kuyajua hayo yote turudi kwenye swali lako la Msingi.
Kwa tafsiri nyepesi na rahisi Vioo hivyo huitwa SIDE MIRRORS, zikiwa zinamaanisha vioo vya pembezoni ua vioo vya upande wa chombo cha Usafiri kama Baiskeli, Pikipiki au aina mbali mbali za magari.
Kwani kila asiyejua physics terms ni mbumbumbu na elimu kwako wewe ni science tu ? au ndio ile farsafa "a dirty mouth never speaks merciful."Acha umbumbu ni sight mirror physics form two
VP kuhusu ile nanilii na under break au hand break IPI sahh
Asante sana kwa ufafanuzi wa kina.side mirror ni vya pembeni
sight mirror ni kile cha ndani
correct me if am wrong