Ni nini neno halisi site au side mirror?

Ni nini neno halisi site au side mirror?

Kuna makosa mengi sana ya matamshi ya vitu vyenye majina ya kiingereza

SAITMILA=Side Mirror
Endiketa =indicator
Endbreki =Hand break
Elementi =Helmet
 
Walopigwa chenga na physics hawawezi elewa kitu
 
Ni SIDE MIRROR full stop.
Ila ukisema sight mirror napo unakuwa General zaidi maana hii inamanisha kioo cha ndani au cha nje wakati side mirror inamaana kioo cha pembeni kwenye gari au pikipiki nk
 
Mkuu wasikuchanganye hao vile vioo vinaitwa SAIDI VUAI MILA, jina hilo limetokana mvumbuzi wa hivyo vioo ambaye alikuwa mzenji, miaka ya nyuma magari yalitengenezwa bila ya kuwa na vioo pembeni hivyo huyo mzenji akaja na huo ubunifu wa kuweka vioo.
umewaza sana
 
kosoa taratibu mkuu. BREAK ni kuvunja, pengine ulikusudia BRAKE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii lugha na hata kiswahili ni shida, umenifurahisha mkuu.....Kosoa taratibu, ama kweli nyanyi.......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yote sahihi kwa upande wa kio chambele ni sight mirror lakini vile vio vya pembeni ni side mirrors
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Ndugu wadau,

Naomba kujuzwa kitaaluma vioo vya pembeni vinavyomuongoza driver katika kuendesha gari au pikipiki vinaitwa SIDE MIRRORS au SITE MIRRORS kwa kuwa watu wengi hutamka kati ya maneno hayo mawili nami natatanika lipi ni sahihi kitaalamu.
Ni Wings Mirror au Side Mirror. Nafikiri kwa sight mirror ni broader term mkuu.
 
Dah! Side View Mirror

Back
Top Bottom