Acha umbumbu ni sight mirror physics form two
VP kuhusu ile nanilii na under break au hand break IPI sahh
Acha umbumbu ni sight mirror physics form two
VP kuhusu ile nanilii na under break au hand break IPI sahh
kosoa taratibu mkuu. BREAK ni kuvunja, pengine ulikusudia BRAKE.Acha umbumbu ni sight mirror physics form two
VP kuhusu ile nanilii na under break au hand break IPI sahh
Vioo vyote vya kuakisi taswira(mirror), vikiwa kwenye chombo kinacho move vinaitwa sight mirror
zote sight mirror ingia net ushahidi na link hapo juu!!Side Mirror
Sight Mirror.
Kweli wewe mdukuzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]setimilla
Umenena MkuuNijuavyo mimi vioo vyote vya ndani na nje ni SIGHT MIRRORS, katika hivyo, vile vya nje ni SIDE MIRRORS.
Hapana Mkuu....zote sight mirror ingia net ushahidi na link hapo juu!!
mpaka unashusha huu uzi ungeingia tu google.Ndugu wadau naomba kujuzwa kitaaluma vioo vya pembeni vinavyomuongoza driver katika kuendesha gari au pikipiki vinaitwa SIDE MIRRORS au SITE MIRRORS kwa kuwa watu wengi hutamka kati ya maneno hayo mawili nami natatanika lipi ni sahihi kitaalamu.
Angeingia huko unako mshauri,wengine tusingejua.mpaka unashusha huu uzi ungeingia tu google.