Ni nini sababu ya kupungua kwa mikopo ya HESLB mwaka 2021?

Good fact.... Wazazi wengi wanauwezo wa kulipia ada... Ila hawatalipa kwa sabab elimu Haina future..... So watoto wengi hawataenda shule
 
Sasa unawasaidiaje wa kozi ya afya kama sio kipaumbele cha serikali na wenye vipaumbele ni watu gani haswa!?
 
Mpaka wanyooke safari hii.Tutazungumza lugha moja tu..
Cc:waione Jumuiya ya Wazazi CCM.
 
Mwaka huu serikali ijitasimini kwa makin kuhusu hili swala nyeti la mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza sidhani Kama ni busara na hekima kuwanyima tuition fees, special faculty na n.k kada muhimu katika hii dunia wanafunzi wetu madaktari, manesi na kada nzima ya afya lakini kinachostajabisha machoni na masikioni mwa waulimwengu Hawa ambao kozi hazina kipaumbele ada wamepewa Kila kitu.

JPM R.I.P.
 
Nenda jukwaa la siasa Ukajisomee nyuzi zangu pengine utapata cha Kujifunza. Naona umeshaanza dharau wakati kichwa maji tu kwangu wewe.
Wew mshamba tuu siasa gani unayoijua uchwara tuu,unashindia mikate unajifanya uko safi toa uozo kichwan umo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…