Ni nini siri ya tarehe 26?

Ni nini siri ya tarehe 26?

Impaler

Senior Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
163
Reaction score
75
Is it a mere Coincidence or A Timely Reminder From God..Need to Think on it Seriously!!!

The Rhodes earthquake 26 June 1926

North America earthquake 26 Jan 1700

Yugoslavia earthquake 26 July 1963

Merapi volcanic eruption 26 Oct 2010

Bam , Iran earthquake 26
Dec 2003 ( 60,000 dead )

Sabah Tidal waves 26 Dec
1996 ( 1,000 dead )

Turkey earthquke 26 Dec
1939 ( 41,000 dead )

Kansu , China earthquake 26 Dec 1932 ( 70,000 dead )

Portugal earthquake 26 Jan 1951 ( 30,000 dead )

Krakatau volcanic eruption 26 Aug 1883 ( 36,000 dead )

Aceh Tsunami 26 Dec 2004

Tasik earthquake 26
June 2010

China Earthquake 26 July 1976

Taiwan earthquake 26 July 2010

Japan Earthquake 26 feb 2010

Mentawai Tsunami 26 October 2010

Gujarat Earthquake 26 Jan 2001.


China Earthquake 26 July 1976

Taiwan earthquake 26 July 2010

Japan Earthquake 26 feb 2010

Mumbai attack 26/11

Mumbai floods 26 July 2005

Now Nepal earthquake 26 April 2015.

Why is it Always "26" ?
Is it just a Coincidence?



This news is Amazing! And scary too!
 
Numerous sources.. just google the dates and events to confirm.
 
Wonderful...nilifikiri ni no 13 tu iliyo na maajabu.
 
Wakuu kwani iyo 13 nayo maajabu yake ni yapi? hii ya 26 kidogo nimenote kitu kichwani

Mkuu Namba 13 ni namba ya mikosi na maajabu,na kwa muda mrefu nchi nyingi duniani hata kwenye vyumba vya wageni na hata seat za gari na ndege wanaweka namba 1,2,3... na kuendelea ila wanaivuka namba 13 kwani watu wengi hawakai hapo

Pia tarehe 13 ya ijumaa (na mara nyingi trh 13 yaangukia ijumaa) inajulikana kuwa ni siku mbaya yenye mikosi.
 
umesahau kitu hapo, muungano usioeleweka nao upo hapo

26 April 1964
 
umesahau kitu hapo, muungano usioeleweka nao upo hapo

26 April 1964

Kijana,

Embu kuwa kidogo na staha na unachokizungumza.

Heshimu Muungano kwani ni alama ya umoja na mshikamano.
 
Matukio yote haya naamini yamepangwa na watu kwa madhumuni maalum .....

Hii ni njama .....!!
 
Back
Top Bottom