Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Ndo usimvuruge sasa, kwani anakasirikaga bila sababu?
Hakikisha "unamkaza" vizuri...hiyo ndio dawa ya wanawake wa hivyo...
Hakikisha "unamkaza" vizuri...hiyo ndio dawa ya wanawake wa hivyo...
watu kama hao sijui wanasaidika vipi,kuna mshikaji wangu ana hasira kama hizo,ukimkasirisha anaweza kukupiga na lolote alichonacho hata panga halafu anajutia baadaye,alimpiga mtu jiwe la kichwa akafa pale pale now yupo jela kafungwa 20 yrsSababu zinakuwepo,lkn yy akikasilika anakuwa kama mbogo,anaweza kufanya chochote na mwisho uishia kuregret tu,yn huwa hawezi kuzicontrol hasira zake.
Hakikisha "unamkaza" vizuri...hiyo ndio dawa ya wanawake wa hivyo...
Utamfanya jamaa asibariki ndoa burewatu kama hao sijui wanasaidika vipi,kuna mshikaji wangu ana hasira kama hizo,ukimkasirisha anaweza kukupiga na lolote alichonacho hata panga halafu anajutia baadaye,alimpiga mtu jiwe la kichwa akafa pale pale now yupo jela kafungwa 20 yrs
watu kama hao sijui wanasaidika vipi,kuna mshikaji wangu ana hasira kama hizo,ukimkasirisha anaweza kukupiga na lolote alichonacho hata panga halafu anajutia baadaye,alimpiga mtu jiwe la kichwa akafa pale pale now yupo jela kafungwa 20 yrs
Hakikisha "unamkaza" vizuri...hiyo ndio dawa ya wanawake wa hivyo...
pole ndugu.Habari zenu wadau,naishi na mwanamke ambae nimezaa nae mtoto mmoja,sasa anamiaka miwili,tatizo la huyu mzazi mwenzangu anahasira sana kiasi cha kushindwa kuzicontrol,kunawakati aligombana na majirani zake alitishia kuwachoma kisu,nampango wa kubariki nae ndoa lkn nikifikilia swala la hasira zake nakata tamaa,je nn suruhisho ya hilo tatizo lake,naomba ushauri wenu.