Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga
NIKUAMBIE KAFANYAJE
pole ndugu.
Kuna principle inaitwa count to ten Mwambie aitumie hakika itamsaidia.
Mwambie kila wakati anapokutana na jambo linaloamsha hasira zake ahesabu one to ten kabla hajafanya maamuzi yoyote then ndo afanye. Ikiwa kwa maneno ama vitendo.
Nilikuaga nahasira hadi natetemeka lakini baada ya kuanza kutumia njia hii niko sawa tu. Mwambie shemeji aitumie afu utatupa mrejesho.
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga
NIKUAMBIE KAFANYAJE
ahahaaaa kumbe hasira zangu zote ni kwasababu hiyooo eee
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga
NIKUAMBIE KAFANYAJE
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga
NIKUAMBIE KAFANYAJE
Daddy... Hebu fafanua hiyo psychology viZuri. Kuna kitu hapa!!
Mfanyie masihara mingi tu hasira zake zitapungua
Ndo usimvuruge sasa, kwani anakasirikaga bila sababu?
Kwani wewe huna wa kukukaza au yupo lakini hakazi vizuri asaidiwe?
ninaeee yupo sana bt yuko mbali kidogo hiv hasira ni za mpito tu
Hakuna mwanamke amabae hana hasira tena umesahau huwa na maneno mengi sana mengi ya hayo maneno ni ya kuudhi so inabidi umchukulie poa tu na kumsamehe
Duh,hatari,nakumbuka kunawakati tulizinguana akanirushia chupa,bahati nzuri niliikwepa,sasa ananitia mashaka na hizo hasira za kijinga.
Masihara mbele ya mtu mwenye hasira kwa wengine ndo inazidi kubamba anaona kama ndo unamzarau