Ni nini suruhisho/tiba ya hasira

Ni nini suruhisho/tiba ya hasira

mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga

NIKUAMBIE KAFANYAJE

Mhh,hebu niambie kakuwezaje?
 
pole ndugu.
Kuna principle inaitwa count to ten Mwambie aitumie hakika itamsaidia.
Mwambie kila wakati anapokutana na jambo linaloamsha hasira zake ahesabu one to ten kabla hajafanya maamuzi yoyote then ndo afanye. Ikiwa kwa maneno ama vitendo.
Nilikuaga nahasira hadi natetemeka lakini baada ya kuanza kutumia njia hii niko sawa tu. Mwambie shemeji aitumie afu utatupa mrejesho.

Asante ndugu,nitafanyia kazi.
 
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga

NIKUAMBIE KAFANYAJE

Nshajua....
 
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga

NIKUAMBIE KAFANYAJE

Twambie bas....
 
mi nina hilo tatizo ni mwanaume mmoja tu kaliwezea ambae sina statment mbili mbele yake kwa kifupi natamani anioe hata kesho kanifanya niwe mpole mpakanmaragiki wamenishanga

NIKUAMBIE KAFANYAJE

I smell some stiff, longlasting pumping... watu8 hujastuka?
 
Last edited by a moderator:
Daddy... Hebu fafanua hiyo psychology viZuri. Kuna kitu hapa!!

Ngoja nikuwekee haya maneno ya umombo ili nieleweke zaidi, haya ni matokeo ya utafiti:

Touching and hugging can release your body's natural "feel-good hormone". Sexual arousal releases a brain chemical that revs up your brain’s pleasure and reward system.

Sex and intimacy can boost your self-esteem and happiness, too. It’s not only a prescription for a healthy life, but a happy one.

Oxytocin is known as the "love hormone" because it helps people build trust and bond with one other. The more sex a couple has, the more oxytocin is exchanged and, by default, the more bonded they feel. Oxytocin increases feelings of generosity, too, so if you wind up with more random acts of kindness like surprise flowers, you have this miracle hormone to thank.
 
Ndo usimvuruge sasa, kwani anakasirikaga bila sababu?

Swali lako ni la kutafuta kuhalalisha hasira bana... Inawezekana kuna mambo yanamkwaza, lakini hasira lazima ziwe proportional na kosa... Halafu ukumbuke, hakuna kosa litakalohalalisha mtu kuchomwa kisu.. na ukimuua ndo umeharibu kabisa
 
Mpeleke kwa psychologist, hakika atamsaidia.
 
Hakuna mwanamke amabae hana hasira tena umesahau huwa na maneno mengi sana mengi ya hayo maneno ni ya kuudhi so inabidi umchukulie poa tu na kumsamehe

Tatizo sio yeye kumsamehe,tatizo ni jamii inayomzunguka,hasaa majirani,kwani si amesema alishawahi watishia kisu?
 
Duh,hatari,nakumbuka kunawakati tulizinguana akanirushia chupa,bahati nzuri niliikwepa,sasa ananitia mashaka na hizo hasira za kijinga.

za kijinga? usim underestimate hata kidogo. kama nyie niwakristo anatakiwa maombi yanguvu
 
Back
Top Bottom