Ni nini upya wa Katiba Mpya?

Mkuu Fungu lazima maana wananchi wanahitaji Elimu kwanza na wengi hawajui umuhimu wa Katiba maana watz wengi hawana Elimu na maswala ya kiutawala , kuwapa watu katiba ya Mwaka 2014 bila ufafanuzi nakataa kata Kabisa. Pia Pesa sio vitu vya kuonea Huruma katika kuliletea Taifa Maendeleo .
 

Huu ulikuwa uzi wako?

Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

Soma between the lines. Watanzania si wajinga ki hivyo. 🤣🤣
 
Kwetu kuna atakaekubali kushindwa? Tutajikuta kila chaguzi tunatumia miwzi mitatu kubishana. Ila tuache ije hiyo katiba mpya tujifunze kwa vitendo
 
Haya yote watanzania hawayaelewi. Ninapoisemea chadema nimamaanisha hata wao hawafanyi kwa maslahi ya taifa bali kwa matumbo yao hata kwa asilimia chache. Hii sio rahisi kunielewa ila nasema tuache katiba mpya ije tujifunze kwa vitendo🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…