Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,836 Reaction score 6,303 May 10, 2022 #1 Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk. Je, kazi za mabalozi ni zipi? Je, safari hizo zina tija kwa taifa?
Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk. Je, kazi za mabalozi ni zipi? Je, safari hizo zina tija kwa taifa?