Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All this men want..men want is driving me nuts!What about what we want?If men don't want to be manipulated how come they manipulate us?If they want to be respected how come they don't respect us and our feelings?Infidelity is not something that should be accepted just because some silly research says so!Can't walk around knowing and accepting that a man that i call mine is OURS!Science or not it's a load of nonsense!Watakaokubali wakubali ila mimi nakataa!
LD mi mwenyewe nimechoka na watu wanaolazimisha kwamba Infii ikubalike!Wanafanya kama vile ni hitaji!As if uaminifu unaua!
SM i don't need statistics..to me those are just numbers and they mean absolutely nothing to!I won't accept someone elses' problem and make it my own!Siwezi kuanza kunywa pombe kwasababu tu kuna watu wanaisifia na kuikubali!I've got a mind of my own so I believe in what I believe in...not what you think I should!
Kwa ulivyoanza thread yako inaonyesha ushawishi wa kukubali kwamba infidelity ipo na inasaidia kuimarisha mahusiano!Lizz mimi binafsi silazimishi wala si shabiki; ila namwaga data za research ili ukweli ujulikane. Kunaweza kuwa na mitazamo tofauti lakini ukweli ni huo.
bado tunaweza kuanzisha thread ya WHAT WOMEN NEED FROM MEN na bado tukapata facts vile vile.
Soon tutaanzisha thread ya Ni Nini Mwanamke anahitaji toka kwa Mwanaume?
May be tutapata majibu.
Kwa ulivyoanza thread yako inaonyesha ushawishi wa kukubali kwamba infidelity ipo na inasaidia kuimarisha mahusiano!
LD mi mwenyewe nimechoka na watu wanaolazimisha kwamba Infii ikubalike!Wanafanya kama vile ni hitaji!As if uaminifu unaua!
Mmh kwanini tena?Du, Lizzy umenikumbusha marehemu profesa Chachage
Yani wanadamu tunajipoteza wenyewe!Kuna sehemu amesema wanaume wanapenda sex ila pia wanataka familia!Kwahiyo mmoja anakua mama na small haus kwaajili ya sex!Sijui hawaamini au hawawezi kujipanga wakapata vyote kwa mmoja!Tamaa tu zinawasumbua!kuna watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu kabisa na kazi zake?? Kama unaweza kujifunza kufanya jambo la kidunia ukaweza kwa nini tusijifunze kuishi maisha matakatifu??
Tupate source ya infidelity halafu tudili nayo.
Mmh kwanini tena?
Poa, nitafurahi kuisoma kama post zako zitakuwa fupi fupi. Lakini umecheki signature ya michelle?
Share nasi; imekuchosha kivipi?
dah! Yaani unatuambia wanaume mna xtra affairs yaani tujiandae! Lol!