Ni Nini Wanawake Wanahitaji Toka Kwa Wanaume

Je, tukisema Ladies wanapenda wawe treated kama Baby Girls ni sahihi?

Naweza kusema ni sahihi, kutokana na vile pia moyo wa mwanamke ulivyoumbwa. Na kama wanaume wangekuwa wanafanya hayo hakuna mwanamke ambaye angekosa uaminifu, kwa sababu mwanamke pia ameumbiwa kuridhika na upendo wa mtu mmoja.

Biblia inasema enyi waume wapendeni wake zenu, ina maana utii wa mwanamke kwa mwanaume inategemeana na jinsi anavyopendwa. Kumbuka upendo una nguvu, kwa hiyo upendo unanivuta mimi mwanamke kukutii wewe mwanaume.

Nina imani kama wanaume wangekuwa wanawapenda wake zao kwa jinsi hiyo kusingekuwa na mambo ya kutafuta haki za wanawake, wala akili ya mwanamke ijipange kukupambana na mwanaume.

Haya yote yametokea kwa sababu wanaume wamekuwa wakatili kwa wanawake, wanatumia nguvu na uwezo walionao kumuumiza na kumkandamiza mwanamke. Kwa sababu hiyo sasa kila mwanamke anayejua kufikiria amekaa mkao wa kukabidhiana na mwanaume mwonevu, na mwanaume hawezi kukubali kushindwa hata siku moja. Kwa gharama yoyote lazima awe juu. Ndio maana tunaona matatizo ya mahusiano na ndoa yanazidi kila siku.

Kwa hiyo sasa Wanaume wapendeni wake zenu, treat them gud, acheni tamaa mbaya, na uonevu, acheni mfumo dume wa kumkandamiza mwanamke.
 
Nyote sahihi ila wanaume wengi hawawezi kutufanyia japo nusu ya tunayoyataka. Lol!
 
Womens want

1.money
2.attention
3.good sex,with a big enough penis..
4.a good laugh,so be charming....

Trust me,the will always be with you,if you can do that

nakubaliana nawe kwenye RED. kwangu mimi hayo yakiwepo, hata kama huna hela poa tu
 

Asante Mjukuu;

Imetulia.

Much respect!
 
ni sahihi. Na nyie si mnapenda kuwa treated like baby boys?

I think sometimes like boys, but sometimes like Heros and may be sometimes like Kings, so the research says.

I trat my wife like a Baby Gal and I call her Baby Angel. In a special way I also trat her like a Queen.

But does that really matter? So, I ask.
 
To me nafikiri love ni namba moja, mengine yanafuata, so napingana nawe kwa kipengele cha kwanza.
 
Womens want

1.money
2.attention
3.good sex,with a big enough penis..
4.a good laugh,so be charming....


Trust me,the will always be with you,if you can do that


Not true at all, hao labda wanaofanya relations as bussiness.
 

Asante LD umemaliza..
 

It matters much.
 

Hiyo # 8 mbona balaa!!!
 
Womens want

1.money
2.attention
3.good sex,with a big enough penis..
4.a good laugh,so be charming....

Trust me,the will always be with you,if you can do that
I think hapo kwenye red ni subset ya security.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…