BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana?
Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa asilimia 99.99?
Miji mikubwa kama Dar, Arusha, MWanza bado wanatumia mkaa kwa asilimia 99, sasa piga picha hio mikoa mingine au huko Vijijini.
Kwa vijijini Tanzania matumizi ya mkaa na kuni ni asilimia 100 kwa 100.
Na hakuna dalili ya kuonyesha kuna uwezekano watu wakaacha kutumia mkaa na kuni?
Sasa huyu mama hio nishati safi ni ipi hasa? na wapi huko anaipigania kwa sera zipi na kwa mioango ipi?
Umeme nani asie jua gharama za unit zilivyo juu? au anazungumzia gesi? gesi ipi ile mitungi ya gesi wanayo gawa
Taifa hili wajinga wanadanganywa sana na hawa chawa.