Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani.
Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe.
Cha ajabu, Mohammad Ashan alijiwasilisha kwa polisi na bango lililokuwa na sura yake na kudai zawadi ya mtafutaji.
'Tulimuuliza, "Je, huyu ni wewe?"' maafisa walisema.
'Mohammad Ashan akajibu kwa shauku, "Ndiyo, ndiyo, ni mimi! Je, ninaweza kupata zawadi yangu sasa?"'
Uchunguzi wa kibayometriki ulithibitisha kuwa ndiye mtu ambaye maafisa wa Marekani walikuwa wakimtafuta.
Alikamatwa papo hapo!😂