kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kuna mwanamke mmoja tunafanya naye kazi, kwa bahati nzuri nimetokea kumpenda mwanadada huyo. Ila kuna kitu nimekiona cha tofauti kwa mwanadada huyu, yaani tabia yake na hali zipo tofauti na wanawake ambao nimezoea kuwatongoza.
~ Huyu ni mpole sana, siyo mpenda kuongea sana.
~ Pili ni mcheshi, anapenda kucheka sana na watu.
~ Na tatu ni mwepesi wa hasira.
Kuna siku msimamizi wetu wa kazi alikuwa anamfokea kwasababu alikosea. Cha ajabu niliona ameshindwa kujitetea na kuanza kutoa machozi.
Na kwa jinsi ninavyomsoma anaonyesha mapenzi kwake siyo kipaumbele, yaani siyo mtu ambaye anafanana na kupenda. Na kwa bahati mbaya ni yatima hana wazazi.
Nilimwambia akachomoa, alikataa ila bado nampenda. Ila kwa njisi nilivyo mimi na yeye, yaani tupo karibu, tupo kama marafiki. Nikitumia mipango yangu vizuri huyu dada nitampata.
Sasa na shindwa ni tumie njia zipi ili niteke hisia za huyu dada!