Ni njia ipi ninaweza kutumia kumpata mwanamke kama huyu?

Fanya mambo mengine, mambo yake muachie mwenyewe...
 
Kuna mwanamke mmoja tunafanya naye kazi, kwa bahati nzuri nimetokea kumpenda mwanadada huyo. Ila kuna kitu nimekiona cha tofauti kwa mwanadada huyu, yaani tabia yake na hali zipo tofauti na wanawake ambao nimezoea kuwatongoza.

~ Huyu ni mpole sana, siyo mpenda kuongea sana.

~ Pili ni mcheshi, anapenda kucheka sana na watu.

~ Na tatu ni mwepesi wa hasira.

Kuna siku msimamizi wetu wa kazi alikuwa anamfokea kwasababu alikosea. Cha ajabu niliona ameshindwa kujitetea na kuanza kutoa machozi.

Na kwa jinsi ninavyomsoma anaonyesha mapenzi kwake siyo kipaumbele, yaani siyo mtu ambaye anafanana na kupenda. Na kwa bahati mbaya ni yatima hana wazazi.

Nilimwambia akachomoa, alikataa ila bado nampenda. Ila kwa njisi nilivyo mimi na yeye, yaani tupo karibu, tupo kama marafiki. Nikitumia mipango yangu vizuri huyu dada nitampata.

Sasa na shindwa ni tumie njia zipi ili niteke hisia za huyu dada!
Kwanza ujue hakuna mwanamke single hata siku moja. Hata akikuambia yuko single ujue anapima kina cha maji wewe na huyo aliye naye. Unatakiwa ucheze karata ni kitu gani ambacho unacho ambacho mwanaume mwenzako hana. Hapo umemaliza. Mwanamke mwingine ana mume mwenye hela ila hana muda wa kukaa naye na kumpa mahaba. huyo mwanamke atachukua hela za mwanaume huyu alaf ataenda kusuuzwa na mwanaume mwingine.
 
Mwanamke mpole alafu mwenye hasira siku zote ni hatari sana mkuu.. achana nae fanya mambo mengine ndugu utakuja kunishukuru baadae

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwanamke mmoja tunafanya naye kazi, kwa bahati nzuri nimetokea kumpenda mwanadada huyo. Ila kuna kitu nimekiona cha tofauti kwa mwanadada huyu, yaani tabia yake na hali zipo tofauti na wanawake ambao nimezoea kuwatongoza.

~ Huyu ni mpole sana, siyo mpenda kuongea sana.

~ Pili ni mcheshi, anapenda kucheka sana na watu.

~ Na tatu ni mwepesi wa hasira.

Kuna siku msimamizi wetu wa kazi alikuwa anamfokea kwasababu alikosea. Cha ajabu niliona ameshindwa kujitetea na kuanza kutoa machozi.

Na kwa jinsi ninavyomsoma anaonyesha mapenzi kwake siyo kipaumbele, yaani siyo mtu ambaye anafanana na kupenda. Na kwa bahati mbaya ni yatima hana wazazi.

Nilimwambia akachomoa, alikataa ila bado nampenda. Ila kwa njisi nilivyo mimi na yeye, yaani tupo karibu, tupo kama marafiki. Nikitumia mipango yangu vizuri huyu dada nitampata.

Sasa na shindwa ni tumie njia zipi ili niteke hisia za huyu dada!
Mapenzi hayalazimishwi. Halafu wewe ni mwanaume, unataka kuanza kufanya ushamba wa kulilia penzi. Mwanamke huheshimu sana hisia zake kuliko sacrifice zako, hivyo akitokea mtu ambaye atagusa hisia zake kamwe hatageuka nyuma,hata kama umeshamuoa. Tujifunze kuwa na misimamo, we umeishi miaka zaidi ya 20 bila yeye leo ndio akuendeshe. Bado akili haijakomaa.
 
Kuna mwanamke mmoja tunafanya naye kazi, kwa bahati nzuri nimetokea kumpenda mwanadada huyo. Ila kuna kitu nimekiona cha tofauti kwa mwanadada huyu, yaani tabia yake na hali zipo tofauti na wanawake ambao nimezoea kuwatongoza.

~ Huyu ni mpole sana, siyo mpenda kuongea sana.

~ Pili ni mcheshi, anapenda kucheka sana na watu.

~ Na tatu ni mwepesi wa hasira.

Kuna siku msimamizi wetu wa kazi alikuwa anamfokea kwasababu alikosea. Cha ajabu niliona ameshindwa kujitetea na kuanza kutoa machozi.

Na kwa jinsi ninavyomsoma anaonyesha mapenzi kwake siyo kipaumbele, yaani siyo mtu ambaye anafanana na kupenda. Na kwa bahati mbaya ni yatima hana wazazi.

Nilimwambia akachomoa, alikataa ila bado nampenda. Ila kwa njisi nilivyo mimi na yeye, yaani tupo karibu, tupo kama marafiki. Nikitumia mipango yangu vizuri huyu dada nitampata.

Sasa na shindwa ni tumie njia zipi ili niteke hisia za huyu dada!
Dawa ni kuwa kimy ili uendane na speed yake
 
Tatizo tukiwaambia hamskiii,demu ame ku friendzone utakaa hapo kweny friendzone hadi akili ikukae sawa,unasema mpo karibu kama marafiki? Utabaki hapo hapo wakat kuna muhun anaepewa nyapu bureee.

Toka Kweny hiyo friendzone,muonyeshe ww hauko tayari kuwekwa kama rafiki,utakua umemuonyesha una options zingine zaidi yake,hapo kama alikua anakupima tu basi atajileta mwenyew,asipojileta basi utakua umeshasave mda wako, friendzone atakutumia kwa faida yake tu.

Alafu tushasema never date your workmate seriously mtakuja sumbuana tu badae.
[emoji123]
 
Huyo tayari ashaonyesha udhaifu wake kwenye " kucheka cheka" maana huko kujichekesha chekesha kwake kutamfanya agongeke kwa wanaume wengi.
 
Back
Top Bottom