Ni njia ipi ninaweza kutumia kumpata mwanamke kama huyu?

Fanya mambo mengine, mambo yake muachie mwenyewe...
 
Nipo huku kijijini kwa UMUGHAKA nitumie namba yake ya simu nikusaidie jambo
 
Kwanza ujue hakuna mwanamke single hata siku moja. Hata akikuambia yuko single ujue anapima kina cha maji wewe na huyo aliye naye. Unatakiwa ucheze karata ni kitu gani ambacho unacho ambacho mwanaume mwenzako hana. Hapo umemaliza. Mwanamke mwingine ana mume mwenye hela ila hana muda wa kukaa naye na kumpa mahaba. huyo mwanamke atachukua hela za mwanaume huyu alaf ataenda kusuuzwa na mwanaume mwingine.
 
Mwanamke mpole alafu mwenye hasira siku zote ni hatari sana mkuu.. achana nae fanya mambo mengine ndugu utakuja kunishukuru baadae

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi hayalazimishwi. Halafu wewe ni mwanaume, unataka kuanza kufanya ushamba wa kulilia penzi. Mwanamke huheshimu sana hisia zake kuliko sacrifice zako, hivyo akitokea mtu ambaye atagusa hisia zake kamwe hatageuka nyuma,hata kama umeshamuoa. Tujifunze kuwa na misimamo, we umeishi miaka zaidi ya 20 bila yeye leo ndio akuendeshe. Bado akili haijakomaa.
 
Dawa ni kuwa kimy ili uendane na speed yake
 
[emoji123]
 
Huyo tayari ashaonyesha udhaifu wake kwenye " kucheka cheka" maana huko kujichekesha chekesha kwake kutamfanya agongeke kwa wanaume wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…