Ni njia ipi sahihi ya kuondoa sumu tumboni, itokanayo na unywaji wa pombe wa kupita kiasi?

Ni njia ipi sahihi ya kuondoa sumu tumboni, itokanayo na unywaji wa pombe wa kupita kiasi?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Ikiwa mlengwa ni mnywaji wa vinywaji vikali, km konyagi,na bia ni ipi njia ya kuondoa sumu mwilini itokanayo na vinywaji hivyo km mlengwa ameacha matumizi ya vinywaji hivyo kabisa?
 
aina zote za sumu zinakuwa detoxificated kwenye ini…akacheki tu kama hajalimaliza ini!
 
Juice ya limao ni nzuri kwa kudetoxify mwili.
 
na je ni dalili gani za awali za kuashiria ini limeshaanza kuathirika?
 
Na je ni dalili gani za awali za kuashiria ini limeshaanza kuathirika?
unywaji mwingi wa pombe unaeza kusababisha alcohol liver cirrhosis na dalili ni:
  • Maumivu kwenye eneo la tumbo
  • kichefuchefu
  • kutapika
  • homa ya manjano(kubadilika ngozi rangi na kuwa manjano pamoja na macho)
  • viganja vya mikono kupata upele mwekundu
  • kinyesi kubadilika rangi na kuwa cheupe
  • Mkojo kuwa na rangi ilokoza kupitiliza
  • kuwashwa kwa ngozi n.k!



 
wanaotengeneza hizo pombe wenyewe wanakwambia ni hatari kwa afya yako. cha msingi kucheki umeathirika kiasi gani na sumu hiyo then upatiwe tiba na ushauri wa kuepukana na matumizi ya pombe.
 
mimi49 naomba kujua mvinyo mwekundu ni km upi? Na kama ntakunywa kwa wiki ntapata faida gani?

Mvinyo mwekundu ni RED WINE ina kitu kinachoitwa revestarol ambacho ni antioxidant inayoongeza high lipoprotein density(HDL)/good cholesterol inayotukinga na matatizo ya moyo!na inasemekana inapunguza pia Low lipoprotein density(LDL)/bad cholesterol ambayo inaweza kusababisha blood clotting in artries and plaque!
 
Pole sana mkuu,Forever living ni nzuri sana kama unataka kuondoa sumu ni PM Ili uweze kuchukua bidhaa aina aloe vera gel (juice) kwa sh. 45,000.Au piga simu 0718959442
 
Pole sana mkuu,Forever living ni nzuri sana kama unataka kuondoa sumu ni PM Ili uweze kuchukua bidhaa aina aloe vera gel (juice) kwa sh. 45,000.Au piga simu 0718959442

Forever Living...???
 
Kuna na wale sabato wenye madawa ya kukanyaga kwenye beseni na sumu yoote kupitia kwenye unyayo ???? Watanzania tunaibiwa..............

Yaani mkuu tiba nyingine zinashangaza sana.
 
Back
Top Bottom