Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Ikiwa mlengwa ni mnywaji wa vinywaji vikali, km konyagi,na bia ni ipi njia ya kuondoa sumu mwilini itokanayo na vinywaji hivyo km mlengwa ameacha matumizi ya vinywaji hivyo kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aina zote za sumu zinakuwa detoxificated kwenye ini akacheki tu kama hajalimaliza ini!
na je ni dalili gani za awali za kuashiria ini limeshaanza kuathirika?
Haina faida yoyote….labda mvinyo mwekundu ni mzuri kwa afya ukiwa glass moja kwa wiki!Kwani kitabibu pombe haina faida mwilini? inamaana ni hasara tu?
unywaji mwingi wa pombe unaeza kusababisha alcohol liver cirrhosis na dalili ni:Na je ni dalili gani za awali za kuashiria ini limeshaanza kuathirika?
mimi49 naomba kujua mvinyo mwekundu ni km upi? Na kama ntakunywa kwa wiki ntapata faida gani?
Pole sana mkuu,Forever living ni nzuri sana kama unataka kuondoa sumu ni PM Ili uweze kuchukua bidhaa aina aloe vera gel (juice) kwa sh. 45,000.Au piga simu 0718959442
Kuna na wale sabato wenye madawa ya kukanyaga kwenye beseni na sumu yoote kupitia kwenye unyayo ???? Watanzania tunaibiwa..............Forever Living...???
Kuna na wale sabato wenye madawa ya kukanyaga kwenye beseni na sumu yoote kupitia kwenye unyayo ???? Watanzania tunaibiwa..............
Kuna na wale sabato wenye madawa ya kukanyaga kwenye beseni na sumu yoote kupitia kwenye unyayo ???? Watanzania tunaibiwa..............
Forever Living...???