Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Huendi Mbinguni😂😂😂Umeisha jaribu dawa za kimasai Mkuu? Nasikia huwa zinarefusha refusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huendi Mbinguni😂😂😂Umeisha jaribu dawa za kimasai Mkuu? Nasikia huwa zinarefusha refusha
😂😂😂Mnaambiwa andikeni assignment hamtaki kazi ku-pest tu, mara ohh me natafuta C tu haya , sasa una gpa ya 2.0 unataka kuipandisha.
Au akunywe na alkasusu inasaidia 😂Umeisha jaribu dawa za kimasai Mkuu? Nasikia huwa zinarefusha refusha
Njoo pmWakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
Ila wewe ni mkorofi😂😂Au akunywe na alkasusu inasaidia 😂
GPA imekua Ng'ombe inenepeshwe, ailishe ARVs na matokeo atayapata asisahau kuja kushukuru jukwaani.GPA inanenepeshwa ukiwa unasoma siyo baada ya kuhitimu au labda hujaeleweka mkuu
😆GPA imekua Ng'ombe inenepeshwe, ailishe ARVs na matokeo atayapata asisahau kuja kushukuru jukwaani.
🤣🤣🤣🤣 DaahGPA imekua Ng'ombe inenepeshwe, ailishe ARVs na matokeo atayapata asisahau kuja kushukuru jukwaani.
hii nakubaliana nayo mkuu,kuna Jamaa angu alikuwa na GPA ya 2.3..saiv yuko zake huko kigoma na UNHCR..salary Dollar 3200 p.m.Huku mtaani hakuna GPA, GPA ni mambo ya kutaka kua mkufunzi au kufanya kazi sehemu zenye competition kubwa ila kiuhalisia mashirika makubwa i.e UN, WB, ILO, DFID, ofisi za ubalozi kadha wa kadha hawaangalii hizo GPA wala nini
Ni kweli mkuu ingawa UNHCR kwa local staff hua wanalipa kwa TZS kwa kifupi hakuna national staff anaelipwa kwa $$hii nakubaliana nayo mkuu,kuna Jamaa angu alikuwa na GPA ya 2.3..saiv yuko zake huko kigoma na UNHCR..salary Dollar 3200 p.m.
Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu.Hakuna njia ya kukuza GPA mkuu. Labda kama uko mwaka wa pili hivi unaweza kupambana mwaka wa tatu ukapata A nyingi na kuiinua lakini kama umeshamaliza chuo/shule sidhani kama kuna lolote unaweza kufanya kubadilisha GPA yako.
Labda kama una pesa za kutosha unaweza kutafuta mtu wa IT mroho anayefanya kazi huko kwenye ofisi inayohusika na matokeo akaingia kwenye system akakubadilishia matokeo na kukupandishia GPA unayotaka. Ila napo mtakamatwa tu.
Umeondoka na GPA ya ngapi na unataka uikuze ifikie ngapi?
Kazi nyingi zinatolewa kwa kujuana hapa Bongo hata kama una GPA mbovu kama una connections kazi unapata tu...
Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tuHakuna njia ya kukuza GPA mkuu. Labda kama uko mwaka wa pili hivi unaweza kupambana mwaka wa tatu ukapata A nyingi na kuiinua lakini kama umeshamaliza chuo/shule sidhani kama kuna lolote unaweza kufanya kubadilisha GPA yako.
Labda kama una pesa za kutosha unaweza kutafuta mtu wa IT mroho anayefanya kazi huko kwenye ofisi inayohusika na matokeo akaingia kwenye system akakubadilishia matokeo na kukupandishia GPA unayotaka. Ila napo mtakamatwa tu.
Umeondoka na GPA ya ngapi na unataka uikuze ifikie ngapi?
Kazi nyingi zinatolewa kwa kujuana hapa Bongo hata kama una GPA mbovu kama una connections kazi unapata tu...
Miaka mi4 sasa imepita, itakuwa ameshajua uhusiano kati ya kutengeneza kipato na cheti.Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu
Nenda Open University of Tanzania utasoma foundation course kisha utaruhusiwa kusoma Shahada. Kwa maelezo zaidi wasiliana naoWakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi