Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

Huku mtaani hakuna GPA, GPA ni mambo ya kutaka kua mkufunzi au kufanya kazi sehemu zenye competition kubwa ila kiuhalisia mashirika makubwa i.e UN, WB, ILO, DFID, ofisi za ubalozi kadha wa kadha hawaangalii hizo GPA wala nini
 
hii nakubaliana nayo mkuu,kuna Jamaa angu alikuwa na GPA ya 2.3..saiv yuko zake huko kigoma na UNHCR..salary Dollar 3200 p.m.
 
hii nakubaliana nayo mkuu,kuna Jamaa angu alikuwa na GPA ya 2.3..saiv yuko zake huko kigoma na UNHCR..salary Dollar 3200 p.m.
Ni kweli mkuu ingawa UNHCR kwa local staff hua wanalipa kwa TZS kwa kifupi hakuna national staff anaelipwa kwa $$
 
Nenda posta hapo wakakutengenezee cheti feki chenye gpa uitakayo
 
Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu.
 
Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu
 
Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu
Miaka mi4 sasa imepita, itakuwa ameshajua uhusiano kati ya kutengeneza kipato na cheti.
 
Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
Nenda Open University of Tanzania utasoma foundation course kisha utaruhusiwa kusoma Shahada. Kwa maelezo zaidi wasiliana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…