Ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali??

Ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali??

Roll up-Whiz Khalifa
Naielewa sana hii ngoma:nakumbuka niko form 2,nilikuwa nawahi home nikijua mida ya saa 10 mpaka l2 lazima EATV wataupiga tu

Natamani -wakali kwanza
 
Lucky dube(Slave, Remember me na ile moja inaitwa the THE WAY IT IS)

Hizi nyimbo zilinifanya nimkumbuke Sana Baba yangu kipindi kile nilipokua mbali nae

Kwa sababu alikua anapenda Sana kuzisikiliza
 
Mm nikisikiaga ngoma ya kuchi kuchi hotae namkumbukaga demu wangu sahivi ni video quine last time 2012 aliniandikiaga hio nyimbo kwenye karatasi akaniambatanishia na zawadi
 
Back
Top Bottom