miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,730 Sep 23, 2019 #41 Roll up-Whiz Khalifa Naielewa sana hii ngoma:nakumbuka niko form 2,nilikuwa nawahi home nikijua mida ya saa 10 mpaka l2 lazima EATV wataupiga tu Natamani -wakali kwanza
Roll up-Whiz Khalifa Naielewa sana hii ngoma:nakumbuka niko form 2,nilikuwa nawahi home nikijua mida ya saa 10 mpaka l2 lazima EATV wataupiga tu Natamani -wakali kwanza
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,709 Reaction score 1,963 Sep 24, 2019 #42 Lucky dube(Slave, Remember me na ile moja inaitwa the THE WAY IT IS) Hizi nyimbo zilinifanya nimkumbuke Sana Baba yangu kipindi kile nilipokua mbali nae Kwa sababu alikua anapenda Sana kuzisikiliza
Lucky dube(Slave, Remember me na ile moja inaitwa the THE WAY IT IS) Hizi nyimbo zilinifanya nimkumbuke Sana Baba yangu kipindi kile nilipokua mbali nae Kwa sababu alikua anapenda Sana kuzisikiliza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 24, 2019 #43 Ngoja tuone... Cc: mahondaw
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Sep 24, 2019 #44 Mm nikisikiaga ngoma ya kuchi kuchi hotae namkumbukaga demu wangu sahivi ni video quine last time 2012 aliniandikiaga hio nyimbo kwenye karatasi akaniambatanishia na zawadi
Mm nikisikiaga ngoma ya kuchi kuchi hotae namkumbukaga demu wangu sahivi ni video quine last time 2012 aliniandikiaga hio nyimbo kwenye karatasi akaniambatanishia na zawadi
nG'aMBu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 2,055 Reaction score 3,120 Sep 25, 2019 #45 G-String Chicco