Nyumba ya wageni (guest house) ni jengo penye nafasi za kukodi kwa kulala wageni.
Hata nyumbani kwako , watoto wako wanapopumzikia, Wewe kama mzazi ukiamua umnyandue mkeo week nzima unaweza fanya hivo, hata watoto wako wakike wakiamua walete mabwana zao wananyanduka hapo hapo, awali ya yote bado inaitwa nyumba ya familia.
Turudi kwenye swali, Zile ni nyumba za wageni, hamna anayeenda pale ni kwake wote ni wageni mnakua hosted pale. Ndio maana ya kauli nyumba ya wageni. Hata uende kila siku wewe ni mgeni pale si mwenyeji.
La mwisho. Sehemu ya lodge, hotel, motel au nyumba yyte ya wageni. Haijatengwa , ili unyanduliwe wewe mtoa mada, au ukasome au ukapumzike, ni maamuzi yako. Hata ukitaka uingie ukojoe uondoke.
Pale ni mahususi kukupoke na kukupa hifadhi. Hata ukiwa na unga unaweza ingia ukapack ukatokq yaani ni mgeni wewe.