Mwaka huu mtatembea mnaongea wenyeweNina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji.
Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa nje na hii timu kama si kuwabania tu wachezaji wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Nonda Shaban "Papii"Nina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji...
Wewe kama shabiki mbobezi wa Simba una pitia kipindi kigumu sana Kwa Sasa. Ushauri wa Bure Achana na mitandao ya kijamii Kwa muda Hadi pale akili Yako itakapokaa sawaNina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji.
Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa nje na hii timu kama si kuwabania tu wachezaji wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Yanga huwa inawapa limbwata wachezaji wake. Kama ilivyokuwa kwa kina Mrisho Ngasa, Ken Mkapa etc. Safari hii limbwata limegonga mwamba kwa MpembaNina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji.
Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa nje na hii timu kama si kuwabania tu wachezaji wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Msuva alitokea wapi? vijana wa Rage naona mnaonesha vipaji vyenu.Nina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji.
Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa nje na hii timu kama si kuwabania tu wachezaji wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Nonda hakuuzwa yangaNonda Shaban "Papii"
Nonda alitoroka,walitakiwa wawili na timu ya sauzi,yanga wakabana,nonda akatoroka,mwenzie akabakiNonda Shaban "Papii"
Siyo limbwata,huwa wanakalia taarifa hawawaambi wachezaji,mamelod walimtaka mahadhi,yanga wakakaushaYanga huwa inawapa limbwata wachezaji wake. Kama ilivyokuwa kwa kina Mrisho Ngasa, Ken Mkapa etc. Safari hii limbwata limegonga mwamba kwa Mpemba
Kwahiyo Shabaan Nonda alitokea Simba?Nonda hakuuzwa yanga
ya msuva je?Nina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji.
Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa nje na hii timu kama si kuwabania tu wachezaji wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kipindi cha mwal Nyerere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nonda Shaban "Papii"
Nonda aliondoka yanga akaenda kucheza Africa kusini kama yanga walimuuza taja kiasi walichomuuzaKwahiyo Shabaan Nonda alitokea Simba?
Simon Msuva kwenda Diffah El jadid
Tuisila kisinda kwenda rs berkane
Heriter Makambo Horoya fc
Mrisho Ngasa aliruhusiwa kwenda west ham, waarabu walimtaka akazima simu mwenyewe wala hakuzuiwa
Kolo wahedi bin Ngada